Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
Ukute kuna other factors amezipenda achilia mbali hizo za nje ulizoziona kwenye pichambona dem mwenyewe wakawaida sana,Hata magotini hanifikii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
hivi huyo zilla hajui kuwa hamuwezi kuishi milele
Hahha una kuwa huambiliki wala husikii la kuambiwayes
halaf wabaya wanakuwaga na sweet walls bro, and they care alot.
sasa hapo akiondoka halaf wewe unatoa mchozi, ndio sisi tunakushangaa wewe na wewe unatushangaa sisi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahha una kuwa huambiliki wala husikii la kuambiwa
Na mm nikikufanyia utapiga moyo konde?hapana
mimi naonaga mtu kama ka amua kuondoka, hutakiwi ku mourn, piha moyo konde endelea na maisha
yataisha kabsa haya
Demu wako Mbaya.
Hujawahi kijana kukamatwa wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona mimi mzuri na niko hivyoyes
halaf wabaya wanakuwaga na sweet walls bro, and they care alot.
sasa hapo akiondoka halaf wewe unatoa mchozi, ndio sisi tunakushangaa wewe na wewe unatushangaa sisi
Kabisa mkuu.Comments zako zinaonyesha hujakomaa kiakili maana hakuna demu mbaya duniani. Unayemuona wewe mzuri wengine hata wakipishana nae hawageuki.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Huyo anawakilisha wanaume wa Dar pia.
nikweli uko hivo ukijilinganisha na wazuri wenzio.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona mimi mzuri na niko hivyo
Kadatishwa zaidi ya ufikiriavyombona dem mwenyewe wakawaida sana,Hata magotini hanifikii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
hivi huyo zilla hajui kuwa hamuwezi kuishi milele
Beauty is in the eyes of the beholder.nikweli uko hivo ukijilinganisha na wazuri wenzio.
ila wabaya lazima wanakushinda, ukisha jichanganya uingie kwa mbaya hutoki, they are treating nen like kings.
HakikaSimlaumu huyo jamaa kufall kwa huyo manzi.
Kama kuna jamaa alijiua kisa Ufoo Saro sishangai.
Unachokiongea kina ukweli ndani yakeComments zako zinaonyesha hujakomaa kiakili maana hakuna demu mbaya duniani. Unayemuona wewe mzuri wengine hata wakipishana nae hawageuki.
Hehehe umetoka jail lini mkuuTutajuaje pengine dem wake alikua akimpa tako.
[emoji12]Beauty is in the eyes of the beholder.
Niko vzr na i treat my man like a King
Si unaniambiaga au unanipaka mafuta kwa mgongk wa chupa?[emoji12]
inakuwaje unafanya mtihani halaf unajisahihishia mwenyewe na ku ji grade?
wacha tu kugrade walim