Mallerina
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 1,236
- 2,060
Ivi kwanini wanaume hamna chembe ya huruma?
Kuna mdada hapa hajui afanye Nini muda huu maana kaachwa na boyfriend wake..
Ni miezi kadhaa imepita ila naona Ile hali Bado inamsumbua...mwili wake umepungua mno na chuo kaacha kuja kabisa
Ushauri nimempa ila naona bado haumsaidii..nimeleta huku jukwaani maana motivational speaker na washauri hawakosi ili tumsaidie....
Anaweza kujidhuru Kwa Hali hii kashindwa kumsahau boyfriend wake kabisa...
Ni hatua zipi anaweza kufata ili kuwa katika ukawaida au mambo yapi afanye