Msaada: Mama yangu anasumbuliwa na tatizo la akili ambalo hospitali halionekani

polleni sana naweza kumtibu nintajitolea kumtibu kwamakubaliano ambayo tutakubalia pande mbili.baada ya mgonjwa kupata nafuu nauhakika wa afya yake kwaidhini ya uubaji wake mtalipia gharama ambazo zitakua ndani yamakubaliano.
Shukurani mkuu acha kwanza tumpeleke jumapili sehemu ya ibada ila mambo yakiwa tofauti nitakujulisha..
 
Kabla sijafikia hapo kwenye Pia ni muathirika.

Nilikua tayari nmeshaanza kukushauri apime vipimo vya HIV, Syphilis, Vipimo vya Ini , Figo n.k .

Hizo ni CNS manifestations zinazotokana na HIV Kwa Mama yako.

Inawezekana, Hatumii dawa vizuri au anatumia lkn regime ya dawa anazomeza ndo inampa shida .


Mtafutieni Sodium Valproate aanze na dozi ndogo ya 750mg Kila siku , Muendelee kuangalia Maendeleo yake.!!.
 
Dawa zimemdhoofisha hasa ARVs!!!!?
Huduma za maombi labda!

Poleni sana!
 
Ila ninyi wa mpelekeni kwa Mwamposa sijui Sunguye ilhali kuna wataalamu wa hayo masuala mnampoteza mwenzenu aisee.

Hivi kweli hakuna wataalamu wa hayo magonjwa mpaka apelekww kwenye maombii tu ilhali dalili ziko wazi kabisa??
DR Mambo Jambo
Herbalist Dr MziziMkavu msaidieni mwamba apa
 
Pole sana mwanangu Mungu ni mwaminifu
 
Nahisi Point kubwa Iko Kwenye "Ni muathirika wa Virusi vya Ukimwi"..
Na Sidhani kama Atakuwa na Aphasia!
Japo Umetoa Ushauri Mzuri sana yangu ni Hayo mkuu
 
Kama mnampeleka kwenye nyumba za ibada basi muwe na imani yakutoshaa haswa lasvo hamtaona matokeo yoyote

Imani iman
 
Hiki kisa mbona kimejirudia humu?

Kuhusu kukakamaa mwili inaweza tokana na athari HIV nina experience ya ndugu yangu kuwa na hali kama hiyo. Kinachonishangaza ni kusema hana tatizo la akili kwa viashiria vyote hivyo.
 
Je bado anatumia Dawa za ARV.

Ikiwa ameacha basi ukimwi umeanza kuingia kichwani .

Mimi nimeona hali Kama hii Kwa wagonjwa wa ukimwi pale wanapoacha dawa
 
Kuna Shida Japo Sidhani kama Hospitali walishidnwa Kuijua..

Kwanza Kabisa the Main Themes ya Ugonjwa wake ipo kwenye Hiyo SeroStatus yake "HIV +VE)..

Waathirika Wengi wenye maambukizi ya HIV walio na Wingi wa Virusi wanaweza Kupata Baadhi ya Magonjwa ambayo Huwa yana Mimic Baadhi ya Magonjwa ya Akili na Yanaweza Kugusa Ubongo moja kwa moja au Kugusa Baadhi ya cells za Ubongo..

Kuna Magonjwa ambayo Tunayaita Neural Psychosis kwa Mtu mwenyr HIV huwa anaweza kupata HIV induced Psychosis(japo ina chances chache za Kupata ila anaweza kupata pia)..

Kuna Magonjwa kama Cryptococco Meningitis, Toxoplasmosis,HIV encephalitis au Progressive multifocal leukoencephalopathy (PML)..

kuna HAND au unaweza ukaiita HIV-Associated Neurocognitive Disorder ..

Kiufupi Kuna magonjwa Mengi ila Common kwetu Tanzania Ni Cryptococco meningitis na Toxoplasmosmis..


kuna Muda Ukweli Usemwe tu Shida Kubwa Aliyo nayo mama Yao ni Kuwa Ameacha Kunywa Dawa Tena na Hata Ukiulizia Kiwango chake cha Virusi kipo juu Kwenye HVL aliopima Karibuni (Simjui ila kwa maelezo yake inaonyesha hivyo)..

Kitu cha Msingi Azingatie Kumsupport Kunywa Dawa na Wakazane kwenda Clinic (CTC) Watapata Msaada na ninaamini aliambiwa Aende huko Ila Hakuona Umuhimu.. hajui kuwa Virusi Vikishuka magonjwa mengi yataepukika kwake..

Kuhusu Hayo magonjwa Mara Nyingi ni Fungus so yanaweza Kutibiwa Vizuri..

Kikubwa ampeleke hospitali (Nazungumzia Kuanzia RRH [Reginal Refferal Hospital]) aeleze Maelezo yote ikiwemo hilo la Mama Yake kuwa Ni HIV na Atasaidiwa Vizuri sana..

Afanye Vipimo..MRI,HVL,CD4 Afanye CSF analysis ,Serum crypt na Vingine atakavyoambiwa..

Anatibika Awahi kabla haijawa samahani
 
Kwani hawa ujuzi waliupata wapi kama sio kwa Mungu?

Kwanini iwe shida kwenda kuombewa kwa Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…