Msaada: Mama yangu anasumbuliwa na tatizo la akili ambalo hospitali halionekani



Ushauri mzuri sana mkuu!

Naamini wakizingatia mama yao atakuwa sawa!
 
Fungua radio ya Mwamposa kilasiku kuanzia saa 8 usiku anafanya maombezi yatamasaidia mama yako...
 
Shukuran sana mkuu ila hapo kwenye CD4 na habari za fungal walishapima wakasema hakuna tatizo kila kitu kipo balanced
 
Je bado anatumia Dawa za ARV.

Ikiwa ameacha basi ukimwi umeanza kuingia kichwani .

Mimi nimeona hali Kama hii Kwa wagonjwa wa ukimwi pale wanapoacha dawa
Anatumia vizuri dawa tunamzingatia kila siku pamoja na msosi
 
PIA NA RECOMMEND KWA PROPHET JAMES NYAKIA, NABII WA AJABU PALE MWENGE MPAKANI, DSM KWANI NIMEONA NA KUSHUHUDIA WATU WENYE MATATIZO MBALI MBALI WAKIPONA MAANA NABII YULE ANAENDA KWENYE CHANZO CHA MATATIZO HAYO YOTE ANAKUAMBIA NA WATU WANAPONYWA.

SOMETIMES WATU WASIWE WABISHI KWENYE MAMBO YA KIROHO! MBONA KWA WAGANGA WANAENDA SANA! WASI DAUTI NGUVU ZA MUNGU HATA KIDOGO
 
Anhaaa kumbe mtu akiacha kunywa dawa akili inakua namna gani vipi.

Kuna jirani yangu hakumeza dawa kwa muda mrefu nae akili ilikua haiko sawa, alikua anasema dawa zimemchosha.

Bill njoo uchukue ushauri wa kitabibu huku, Mungu kawapa maarifa hamyatumii mnarudi kwake tena wakati keshawapa vyote
 
Hiyo hali nimewahi kushuhudia kwa wagonjwa wa HIV.
 
Watu wengine wanakaa kusema aende kwenye maombi wakati tatizo liko wazi....
 
Acha ujinga....
 
Pole sana mdogo wangu..
CC Setfree
 
poleni aisee. homa ngumu sana hiyo. ni ngumu sio kidogo. kuna jamaa yetu aliwahi pata shida kama hiyo aliponea kwa sangoma yupo fresh hadi leo. ni wale sangoma wa vijijini ndanindani kabisa uko. ila ni miaka mingi imepita na yule sangoma alishatangulia mbele za haki.
 
Shukuran sana mkuu ila hapo kwenye CD4 na habari za fungal walishapima wakasema hakuna tatizo kila kitu kipo balanced
Sijaelwa Walipima Wakawapa majibu kuwa CD4 iko Kiasi gani?

Na Kingine Hakuna Majibu ya Fungal Ilo balance Its either Unayo au Hunayo Means Either Positive or Negative its Neither Balance Hutakiwi kuwa na Fungus
 
Yeah Ni kweli kabisa kuna Vingi sana Kuhusu HIV vinapaswa Kuwekwa Wazi ambavyo wengi huvichukulia Poa
 
Mkuu pole sana, je anatumia ARV coz kunajamaa hapa mtaa alipatwa na tatizo kama hilo na yeye alikuwa muathirika wa HIV lakini alipo pelekwa hospital alikaa sawa mpaka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…