Msaada: Mama yangu anasumbuliwa na tatizo la akili ambalo hospitali halionekani

APELEKWE HOSPITALI HOSPITALI KUBWA kuonana na daktari wa CTC klinic ya wagonjwa waathirika HIV/AIDS(VVU,UKIMWI) pia aonwe na dakatari bingwa wa magonjwa wa ndani PHYSICIAN.

UGONJWA WAKE unatibika HOSPITALI
WALA sio kwa waganga wa kienyeji wala sio kwa maombi.wala sio kwa mitishamba.

EPUKA MATAPELI usitibiwe kwenye simu,HOSPITALI ndio sehemu sahihi ya yeye kutibiwa.
 
Mwanzo hiyo quote ya ugonjwa mleta uzi hakuiweka. Hilo linaeleweka kama kweli alikuwa akitumia dawa, kinga ya mwili inashuka, na seli zikizidiwa cha kwanza kuathiriwa ni ubongo au seli za ubongo anaanza kuchanganya mafaili.

BTW hakuna kinachosgindikana kwa Mungu, hayo maarifa ya dawa pia ameyatoa Mungu. Atumie dozi kikamilifu
 
Yes Mungu katupa maarifa, ila sisi tunayapuuza. Tumuombe atukumbushe tuguse wapi tupone.
Anaetoa baraka ni yeye ila zinapitia mikononi mwa wanadamu, anaponya lakini pia sometimes hututumia sisi sisi wanadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…