Msaada: Mama yangu kaolewa na kijana umri sawa na sisi wanae

Msaada: Mama yangu kaolewa na kijana umri sawa na sisi wanae

Mama kufikia hivyo ni matokeo ya migogoro baina yao na kamwe kuna mambo mengine huwezi kuwekwa wazi maana ukiyajua yanaweza kuwa aibu zaidi kwako,
Ni upumbavu hata mume wake angelala na mama mkwe wake Bado isingekuwa sababu ya huyo mama kuliwa na watoto shenzi kabisa hajieshimu
 
Mwanamke mpumbavu huvunjs ndoa Yake kwa mikono Yake mwenyewe.Anachokifanya mama yako sio poa kbsa ikiwezekana iteni kikao Cha familia mtafute suluhisho la kumdhibiti mama yako.
 
Back
Top Bottom