Wewe mama yako angekuwa anatombwa na bodaboda wa mtaani ungejisikiaje?
Huwa mnaandika kama mmekatwa vichwa. Hii ni fedheha ya ajabu sana.
Ati achana na mambo ya mama yako!! Huku anapigwa miti na wahuni halafu wanakucheka na kukudhihaki!!
This is UNFAIR... Kwa kweli. Kwanini asiolewe aende mbali huko kuliko kuabisha wanae?
Eti Brigedia Jenerali
Extrovert is this FAIR?
ndugu umepanici sana aisee, hili ni suala la maoni tu hupaswi kupinga maoni ya mwingine nawewe toa maoni yako,
chuki siku zote sio jawabu,
na panapouma ndipo penye lathamani zaidi la kujifunza,
kwa mfano ndugu ukiona mama yako wewe anafanyiwa hivyo unaenda kumtoa huko au unakuwa unamchunga kama demu wako au inakuwaje?
ushauri wakujenga ni mzuri sana kuliko wa kubomoa, aibu na fedheha ni uchaguzi tu, sio kila unaloliona wewe kila mtu anakuwa nalo.
hebu chukua nafasi wewe ndio mama yangu unakazwa na bodaboda huko halafu falimilia yako tunakutenga na kukuchukua, na fika haukuwa hivyo toka tukiwa watoto wadogo hadi tukuwa wakubwa imetokea tu umebadirika gafla mama yetu, hakuna ndugu anayejua ni nini unapitia, hakuna anayejua uko sawa kiakili au hauko sawa, kila ndugu anakuangalia kwa namna ya zamani na kuona kwasasa umeamua kufanya makusudi,
hakuna anyekuangalia na kutaka kuwa msaada kwa hali ya sasa, hivi unadhani ungejisikiaje mama yetu? huwenda una tatizo kubwa sisi hatujui tunakuchukia tu ungejisikiaje mama yetu?
Sikia bro uchungu unaouona hapa ndio huohuo hata mkeo au demu wako anaupata unapokuwa unachepuka hili liwe funzo kwako kuwa mtakatifu kwa mahusiano yako ili usiwe mfano mbaya katika jamii ukawe mfano mwema.
Above all mama yako hata awe anauza nyapu hatabadirika kutokuwa mama yako atabakia kuwa mama yako vilevile hadi anaingia kaburini.