Msaada: Mama yangu kaolewa na kijana umri sawa na sisi wanae

Msaada: Mama yangu kaolewa na kijana umri sawa na sisi wanae

angalau basi kaolewa kuliko ungesikia anafanya uhuni na uwasherati mwingine.

potezea ilo sio jambo la ajabu sana kwa kizazi cha sasa.kuna waziri mstaafu ni mzee lakini kaoa binti sawa na mjukuu na kuna waziri mstaafu mbibi nae kaolewa na kijukuu cha kisharobaro.
 
kijana we fanya yako uzungu uzunguni saivi, mi hapa nina jimama langu naliliwaza huwa wanastress sana sas tunavyo wapeti peti husahau shida kabisaa, sasa we fanza issue zako uyo ni mama yako tu we zungumza nae ila akigusia masula ya dingi mkatishe azungumze yanayokuhusu wewe na yeye
 
Noma sana kuna mwana alijingongaa kisa mama ake analiwaa na vijana wenzakee alafu vijamaa vinamwambia aviite baba... Mambo haya yanaumiza sana sema ile dhambi haikumuacha yule mama salama nae alikuja kujinyongaa...!!

Sometimes kwenye maisha kuna matatizo hasa ya wazazi inabdi ujitahidi kuyapotezea kuliko kupoteza muda kuyasolve maana yanaumiza sana na ubaya yakiwa yanahusu mahusiano... Ushauri chuku muda mpigie mama yako simu mwambie mzee analalamika umemtoroka umeenda kuolewa kwani nin shida mama??? Alafu sikia atakujibu nini japo inaonesha mama yako ni mtu wa kupenda vitu vikubwaa ambavyo hana uwezo wa kuvipata au kupewa na mzee wako so akijibu Shit mpotezee na uoneshe kweli umekerekwa na alichokifanya simu yake usipokee itazidi kukupa stress.. Pole sana
 
Mwanamke anapochafukwa na kujichafua, ni nani wa kumtuliza ???? Ni nani ?????

Hubadilika na kua kama Kifaru aliyeona Moto !!.

Ooohh nasikitika kusema Mama yetu hatakua na Muda sana !!! Maana njia aliyoamua kuiendea ni Njia ya Mauti !!.

Nini kifanyike ??? Watoto wpakamtafute Mama Yao?? Baba akamtafuta Mkewe ?

Je Kila Mmoja apuze tu na aachwe afanye anayoyataka??.

Kibinadamu, Mama asiachwe , Mama atafutwe, arejeshwe .

SIO KWA NGUVU. NA AKILI ZENU TU, BALI KWA MAOMBI NA VILIO KWA BWANA YESU .
 
Hayo mambo ni magumu km yanakuhusu.
Ni kweli na huwezi kuyabadilisha,mpokee cm zake zungumza nae vizur tu na kumwelewesha taratibu kwa upole ataenda anaelewa tu,mzazi ni mzazi tu hata afanye nn ni wa kwako tu.
 
Kijana kumbuka anaelala na mama yako ndio Baba yako huyo... Huyo janki aliemuoa mama yako akikupigia simu.
Msalimie Shikamoo Baba.

Mengine waachie wao wazazi, wewe fanya yako ukifuatilia saana utaumiza akili yako bure tu.
 
Kijana bado uko chuo hapo unatengeneza future yako wewe kama wewe we ni kama mm sema mm huwaga sifuatilia mambo ya nyumba ntkupa baadhi ya hints zangu mm the way I don't my anyone's business

Mimi nakaa na wazazi sijui migogoro yao ila wametengana likizo kama ni mwezi naenda wiki moja huku wiki nyingine huku wiki mbili zilizobaki narudi dar kupiga mishe zangu na kupumzika sitaki kufuatilia nikipata pesa nagawa nusu kote watajua wenyewe baadhi ya matatizo ya wazazi huwezi kuyabeba wale ni binadamu Kama wewe usijipe stress sana kaa mbali si kaolewa kamsalimie kwani unataka kunyonya ushakuwa mkubwa piga mishe zako maana hukai nae tena
Japo inauma, lakini nimependa sana mentality yako mkuu!
 
Pole kijana mwenzangu najua unajutia sana lakini humu JF wengi hawana busara na hekima

Wengi wao majibu ya juu juu hawataki kuja na sululisho mie naona kikubwa kusali na ukipata nafasi muulize au mwambie lakini ukimwambia jua utazua tatizo zaidi maana atawasiliana na mume wake kwa nini kakuambia mambo ambayo yeye atadai ni uongo,.
 
Kijana kumbuka anaelala na mama yako ndio Baba yako huyo... Huyo janki aliemuoa mama yako akikupigia simu.
Msalimie Shikamoo Baba.

Mengine waachie wao wazazi, wewe fanya yako ukifuatilia saana utaumiza akili yako bure tu.
Daah[emoji38]
 
Pokea simu ya mama yako akikupigia. Kuna siku hiyo nafasi haitakuwepo. Kuhusu tabia zake muambie wazi kila unapoongea nae kuwa watoto mnaumia kwa tabia hizo ila mnamuombea siku moja arudi kuwa mama.
 
jambo pekee unaloweza kufanya kwasasa ni kuachana kufuatilia maisha ya mama yako, achana kusikiliza story zake kutoka kwa mtu yoyote, kama unaweza kumpotezea mpotezee tu, mwisho wa siku ndiyo kaamua kuishi kwa namna hiyo...
 
Inawezekana Baba yako ndio sababu kwa kumpatia stress
 
Kijana bado uko chuo hapo unatengeneza future yako wewe kama wewe we ni kama mm sema mm huwaga sifuatilia mambo ya nyumba ntkupa baadhi ya hints zangu mm the way I don't my anyone's business

Mimi nakaa na wazazi sijui migogoro yao ila wametengana likizo kama ni mwezi naenda wiki moja huku wiki nyingine huku wiki mbili zilizobaki narudi dar kupiga mishe zangu na kupumzika sitaki kufuatilia nikipata pesa nagawa nusu kote watajua wenyewe baadhi ya matatizo ya wazazi huwezi kuyabeba wale ni binadamu Kama wewe usijipe stress sana kaa mbali si kaolewa kamsalimie kwani unataka kunyonya ushakuwa mkubwa piga mishe zako maana hukai nae tena
Fuata ushauri huu
 
Unasoma ili umsaidie yeye acha fikra izo unasoma ujenge maisji yako unamaanisha maamuzi mabaya nikuacha kusoma et utakuwa umemkomoa aisee delay na ayo mambo ya bimkubwa wako maji siku zote ayasahau baridi sawa mkuu
Habari yenu wana JF, poleni na mihangaikio ya kuendelea kulijenga taifa.

Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja kikubwa hapa nchini,hivi majuzi nilipokea taarifa kutoka mbeya nyumbani za kuumiza sana moyo wangu,taarifa ilikuwa hii. Eti mama yangu ameamua kuhama mji bila kumuaga mzee wangu,karudi kwao Mafinga Iringa na akaamua kuishi hapo kwao kwa muda usio eleweka.
 
Back
Top Bottom