Msaada: Mama yangu kaolewa na kijana umri sawa na sisi wanae

ndugu umepanici sana aisee, hili ni suala la maoni tu hupaswi kupinga maoni ya mwingine nawewe toa maoni yako,
chuki siku zote sio jawabu,
na panapouma ndipo penye lathamani zaidi la kujifunza,

kwa mfano ndugu ukiona mama yako wewe anafanyiwa hivyo unaenda kumtoa huko au unakuwa unamchunga kama demu wako au inakuwaje?

ushauri wakujenga ni mzuri sana kuliko wa kubomoa, aibu na fedheha ni uchaguzi tu, sio kila unaloliona wewe kila mtu anakuwa nalo.

hebu chukua nafasi wewe ndio mama yangu unakazwa na bodaboda huko halafu falimilia yako tunakutenga na kukuchukua, na fika haukuwa hivyo toka tukiwa watoto wadogo hadi tukuwa wakubwa imetokea tu umebadirika gafla mama yetu, hakuna ndugu anayejua ni nini unapitia, hakuna anayejua uko sawa kiakili au hauko sawa, kila ndugu anakuangalia kwa namna ya zamani na kuona kwasasa umeamua kufanya makusudi,
hakuna anyekuangalia na kutaka kuwa msaada kwa hali ya sasa, hivi unadhani ungejisikiaje mama yetu? huwenda una tatizo kubwa sisi hatujui tunakuchukia tu ungejisikiaje mama yetu?

Sikia bro uchungu unaouona hapa ndio huohuo hata mkeo au demu wako anaupata unapokuwa unachepuka hili liwe funzo kwako kuwa mtakatifu kwa mahusiano yako ili usiwe mfano mbaya katika jamii ukawe mfano mwema.
Above all mama yako hata awe anauza nyapu hatabadirika kutokuwa mama yako atabakia kuwa mama yako vilevile hadi anaingia kaburini.
Sawa lakini usiandike kama vile ni kitu cha kawaida.
 
Yaani niwewe tu ulichukulia ukawaida wakati watu tumelichukulia uzito, kuna muda katika maisha wema ni bora sana kuliko chuki, maana unaweza yaona mambo mengi sana ambayo katika chuki hayaonekani
 
Habari yenu wana JF, poleni na mihangaikio ya kuendelea kulijenga taifa.

Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja kikubwa hapa nchini, hivi majuzi nilipokea taarifa kutoka Mbeya nyumbani za kuumiza sana moyo wangu,taarifa ilikuwa hii. Eti mama yangu ameamua kuhama mji bila kumuaga mzee wangu,karudi kwao Mafinga Iringa na akaamua kuishi hapo kwao kwa muda usio eleweka.

Tukirudi nyuma,mama alishatuharibia sana mji kwani alifikia hatua ya kuuza mashamba ya familia bila kushirikisha mtu yeyote na akajiingiza kwenye madeni lukuki.

Hivi majuzi pia nilipokea ujumbe mfupi kutoka kwa ndugu wa karibu kuwa mama ameamua kwenda migodini na huko anafanya vitu vya ovyo sana na vya kutia aibu sana...yaani kama vile amekuwa ni binti mdogo.

Juzi pia nikapokea taarifa mbaya sna kupita zote kuwa ameolewa na kijana mdogo rika la kwetu sisi vijana wake na amefikia hatua ya kumpeleka kabisa pale nyumbani kwao. Ni almost 55's-60's anatembea na kijana wa 25s-40s,hii ni sahihi kweli?

Mzee alinipigia simu akaniambia kuwa amesikia taarifa chafu kumuhusu mama na anawaza afanye nini juu yake ila mimi nilimshauri kuwa aachane nae maana anaonekana kama hajitambui pamoja na kuwa ana umri mkubwa kiasi hicho, mzee alinielewa na akanisihi nisiwaze sana juu yake bali nikazane kwenye masomo yangu.

Kiukweli mama huyu ananitia aibua sana na sitamani ata kuongea nae wala kusikia sauti yake japo kuna muda ananipigia simu sana ila siwezi kupokea zake.

Naomba ushauri wenu ndugu zangu sina amani na haya maisha maana ata kusoma hapa,nilikuwa nasoma ili siku moja nimsaidie huyo mama lakini kanivunja sana moyo..... natamani nifanye maamuzi magumu sana ila naona hapana, bado nina safari ndefu sana ya kimaisha. Je, hapa kuna uchawi au tabia tu ya huyu mama maana ninashindwa kabisa kuelewa..

Naombeni ushauri wenu ndugu zangu
nawewe tafuta mzee kuliko mama ako umuoe
 
Dunia Ina mengi Sana machafu ambayo mengi yao chanzo ni mchafuko wa roho. Roho ndio uongozwa mwili. Watu wengi sana Wana maradhi ya kiroho kuliko mwili. Ndo maana unaona vurugu nyingi kwenye ndoa, mahusiano, watoto kuvuta bangi, ushoga, ukahaba, nk. Haya ni maradhi ya kiroho na tiba zake ni za kiroho pia. Check wataalamu wa tiba za kiroho wanalo jibu. Hakuna tabia yeyeto isiyotibika kiroho. Roho ikiwa chafu matokeo uonekana mwilini.Hii duniani ina siri nyingi na Ina elimu nyingi Sana.
Check wataalamu wa kutibu roho watakusaidia atatulia.
 
Pole Sana ndugu .. hapo mzazi wako alichokosea ni kuhuza mashamba na kujiingiza kwenye madeni kitu ambacho kitawaumiza nyie hapo badae, maswala ya mapenzi hayo nahisi yasikupe stress japo Kwa umri wake ajafanya poa lakini ni maamzi juu ya mwili wake. Tuliza Mawazo umwombee Kwa Mungu arudi katika njia salama maisha yaende .

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Daah....kwahiyo dogo anamkunja bi mkubwa na kumkamulia halafu hujui cha kufanya! Endelea kusubiri amvunje uti wa mgongo ukamtibu.
Ila wazazi wengine wanatia hasira sana
 
Pole sana aisee. Hili jambo ni zito kiukweli. Kwa sasa cha kufanya ni kufocus tu na mambo yako aisee, hakuna namna. Kadri muda unavyokwenda utajikuta akili inatulia na hili jambo halitokuumiza tena kichwa
 
Haiwezekani MAMA MZIMA unaolewa na kijana sawa na umri wa mtoto wako wa kumzaa! HUO NI UPUMBAVU!

Eti mapenzi! Mapenzi gani hayo ya kuaibisha watoto wako!

Mama gani hana hek'ma hawezi hata kujisitiri mbele ya wanae?
Mapenzi ni upofu, ref. ufaransa
 
Habari yenu wana JF, poleni na mihangaikio ya kuendelea kulijenga taifa.

Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimoja kikubwa hapa nchini, hivi majuzi nilipokea taarifa kutoka Mbeya nyumbani za kuumiza sana moyo wangu,taarifa ilikuwa hii. Eti mama yangu ameamua kuhama mji bila kumuaga mzee wangu,karudi kwao Mafinga Iringa na akaamua kuishi hapo kwao kwa muda usio eleweka.

Tukirudi nyuma,mama alishatuharibia sana mji kwani alifikia hatua ya kuuza mashamba ya familia bila kushirikisha mtu yeyote na akajiingiza kwenye madeni lukuki.

Hivi majuzi pia nilipokea ujumbe mfupi kutoka kwa ndugu wa karibu kuwa mama ameamua kwenda migodini na huko anafanya vitu vya ovyo sana na vya kutia aibu sana...yaani kama vile amekuwa ni binti mdogo.

Juzi pia nikapokea taarifa mbaya sna kupita zote kuwa ameolewa na kijana mdogo rika la kwetu sisi vijana wake na amefikia hatua ya kumpeleka kabisa pale nyumbani kwao. Ni almost 55's-60's anatembea na kijana wa 25s-40s,hii ni sahihi kweli?

Mzee alinipigia simu akaniambia kuwa amesikia taarifa chafu kumuhusu mama na anawaza afanye nini juu yake ila mimi nilimshauri kuwa aachane nae maana anaonekana kama hajitambui pamoja na kuwa ana umri mkubwa kiasi hicho, mzee alinielewa na akanisihi nisiwaze sana juu yake bali nikazane kwenye masomo yangu.

Kiukweli mama huyu ananitia aibua sana na sitamani ata kuongea nae wala kusikia sauti yake japo kuna muda ananipigia simu sana ila siwezi kupokea zake.

Naomba ushauri wenu ndugu zangu sina amani na haya maisha maana ata kusoma hapa,nilikuwa nasoma ili siku moja nimsaidie huyo mama lakini kanivunja sana moyo..... natamani nifanye maamuzi magumu sana ila naona hapana, bado nina safari ndefu sana ya kimaisha. Je, hapa kuna uchawi au tabia tu ya huyu mama maana ninashindwa kabisa kuelewa..

Naombeni ushauri wenu ndugu zangu
Jitahidi kumuheshimu huyo babaako wa pili
 
Mambo ya ndani (chumbani) ya wazazi waachie wenyewe, shukuru huyo mama yako alikuzaa akakulea akakukuza hadi Leo hii upo chuo kikuu ,vinginevyo angeitoa mimba yako au kukutupa au kukuuua au vyovyote vile
 
Wewe chukua ushauri wa Baba yako,kazania kitabu tu usimuwaze kabisa huyo Bimkubwa wako. Kama ni muumini basi muombe Mungu akutie nguvu.
 
Actually inaumiza sana bt jikite katika kujenga Future yako...Suala hili linahitaji Muda kwa maana si jambo la kawaida huenda kuna kitu flani hakipo sawa kwa Mama yako huyo...Once again lipeni Muda hili suala as you know Muda ni mwalimu mzuri sana.
 
Kijana mapenzi uondoa stress,kwa baadhi ya watu na wengine wakila ndumu au fegi wanaondoa stress wengine pombe na club,wengine wakikosa bando wanachanganyikiwa japo aperuzi myandao ya kijamii kutwa nzima,akikosa tu stress
Turudi kwa mama inawezekana yeye ni kati ya watu wanaopoteza stress kwa mapenzi
Hayo yanaweza kukuta pia nawe,maana kujijua unazeeka unaweza kujua ila unaweza kujiona bado hujamaliza maarifa mengine na ukajikuta unajishangaa mwenyewe wakati watu wanakushangaa
Mimi nikiangalia age yangu najitambua kabisa tayari nimekwisha ila najiona kama bado kijana
Na wakati age yangu inabadilika nilikuwa nashangaa na amkiwa na kijana mkubwa tu baadhi ya sehemu na baadhi ya wanawake wakiniamkia na wengine kunisalimia kama malingana nao,
Hapo ilibidi nijikubali kuwa nimekuwa mzee sasa
Kuna wakati nikiibua wanawake ,nikiwa katika uhusiano nao anaweza kuniambia wewe unalingana na baba yangu!! Hapo ndipo nilipochoka
Mimi ni mmoja wa watu ninao ondoa stress kwa mapenzi yaani Hata niende sehemu niangalie mabinti na mavazi yao ya kisasa,kwenda beach vile so nainjoy sana
Mwache mama yako ainjoyo ila asikuaibishe tu kuwa malaya
Umri ni namba tu kama kajara na harmo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni muhaya, mrangi, nyaturu, mmbulu au kabila gani

Back
Top Bottom