Sambinyakwe kitololo JF-Expert Member Joined Nov 15, 2022 Posts 2,419 Reaction score 2,940 Dec 15, 2022 #101 chuma cha reli said: Mama kufikia hivyo ni matokeo ya migogoro baina yao na kamwe kuna mambo mengine huwezi kuwekwa wazi maana ukiyajua yanaweza kuwa aibu zaidi kwako, Click to expand... Ni upumbavu hata mume wake angelala na mama mkwe wake Bado isingekuwa sababu ya huyo mama kuliwa na watoto shenzi kabisa hajieshimu
chuma cha reli said: Mama kufikia hivyo ni matokeo ya migogoro baina yao na kamwe kuna mambo mengine huwezi kuwekwa wazi maana ukiyajua yanaweza kuwa aibu zaidi kwako, Click to expand... Ni upumbavu hata mume wake angelala na mama mkwe wake Bado isingekuwa sababu ya huyo mama kuliwa na watoto shenzi kabisa hajieshimu
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 8,611 Reaction score 16,118 Dec 15, 2022 #102 Mwanamke mpumbavu huvunjs ndoa Yake kwa mikono Yake mwenyewe.Anachokifanya mama yako sio poa kbsa ikiwezekana iteni kikao Cha familia mtafute suluhisho la kumdhibiti mama yako.
Mwanamke mpumbavu huvunjs ndoa Yake kwa mikono Yake mwenyewe.Anachokifanya mama yako sio poa kbsa ikiwezekana iteni kikao Cha familia mtafute suluhisho la kumdhibiti mama yako.