Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

Nenda Chauma
 
CCm wanademka ila hawataenda kwenye uchaguzi bila chadema.Watabanwa mpaka waitishe mazungumzo na chadema na watakubali kurekebisha kasoro na uovu wao ili chadema ishiriki uchaguzi.
 
Nendeni TLP nafasi zipo
 
Kama dhamira na nia zenu ni kugombea iwe urais, ubunge na udiwani nadhani nafasi bado mnayo. Vyama vipo 18 vitakavyo shiriki uchaguzi, na watanzania ni wale wale hakuna waliofukuzwa wakakosa sifa za kupiga kura.
Achaneni na Chadema kijifie huko mtafute chama kingine mjiunge mgombee mshinde mbona simple tu.
 
Mungu amesikia kilio chenu,atafanya kitu
P
Wasipate shida, wafanye kama Maalim Seif, yeye alipoona CUF mizengwe mingi huku akijua na wafuasi nyuma yake, akahamia ACT na wafuasi wake. Leo hii CUF imebaki kusubiri hisani ya ccm, wakati ACT huko Znz imechukua nafasi ya CUF. Ni muda wa hao G55 kuonyesha jeuri yao nje ya cdm.
 
Usipondeke moyo,Nenda Act
 
Weka hapa ushahidi wa jina lako na kadi yako vinginevuo usitupotezee muda.
 
Mwenyekiti na genge lake watimuliwe wameshindwa kujitambua
 
Nyie badala ya kuungana na wenzenu katika mapambano ya kudai mifumo kandamizi ..mkawa machawa kwa kupenda madaraka ya ubunge ahahahahah sasa nendeni huko ccm .
Mwaga mboga nimwage ugali..kudadadeki.
 
Ungekuwa kweli unajali shida za mahala unapotaka kwenda kugombea, ulikuwa unafanya harakati za kupigania mabadiliko na maslahi ya eneo. Kufungiwa kwa CDM isingekuwa shida kwako kwa sababu jitihada zako na umaarufu wako ndio ungekubeba jimboni na vyama vinavyogombea ni luluki ukosi cha kukupa fursa.

Shida kama ulikuwa unategemea brand ya CDM ikubebe kupitia kazi za viongozi wako, wewe mwenyewe huna popularity yoyote jimboni wanasiasa wa aina hiyo kama nchi atuwahitaji ukose tu hiyo nafasi.
 
Usanii mwingine wa kitoto sana. G55 my foot.

Amandla...
 
Chama kimekufa hicho kwanini unachosha ubongo kuwaza kugombea kwenye chama marehemu?

Sahivi ni mwendo wa kuomba tone tone ya kuweka mawakili tu , Chadema mmebuni njia za kula hela za wananchi kwa njia za kuombaomba, na majizi ya Ccm yao yanaiba kodi kujinufaisha binafsi.

Chadema na Ccm mmoja ni mwizi alie madarakani mwingine ni mwizi ambae hajapata madara wote hali moja.
 
Chama kukiua ni ngumu kuna watu kila siku wanakianzishia uzi au kukitaja. Hapo ndo huwa naona kinagoma kufa. Chama kilichokufa hakitajwi kabisa.
 
MUNGU kamuumbua Mbowe mchana kweupe Sasa zamu ya maccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…