mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
- Thread starter
-
- #41
kiongozi hili la mke kusomasoma meseji za simu ya mumewe na lenyewe limekaaje maana km lina kaukakasi kidogo nalenyewe. ebu liweke sawasure mkuu,
fedheha na mahangaiko, unnyonge wa kisaikolojia kwa watoto wa kike na kiume wa familia zinazokumbanaga na kadhia hii hua ni hadi kaburini , achilia mbali majuto ya wahusika wakuu
Mtumishi, Mama mchungaji Lamomy kipenzi changu,Ushahidi gani tena unataka? Hiyo msg kaikuta kwenye simu ya mumewe na kakiri ni kweli.
Ndoa inavunjwa kwa dhambi ya uasherati, itakuwa huyo aliyevuka mpk kafika Sodoma!!!
Hiyo tabia yake ni talaka tosha, labda km mwanamke aamue kubaki kwa ridhaa yake.
hapana mie si mwanasheria, ispokua ni mshirika katika suluhu na maridhiono kwenye mahusiano, familia, jamii, Kitaifa na kimataifa....mkuu itakuwa umesomea sheria bila shaka maana sio bure una madini adhimu sanaπ
daah aisee mi ningekuwa mtawala wa nchi we ndo ungekuwa mwanasheria mkuu hata kama hujasomea uko vizuri mkuuhapana mie si mwanasheria, ispokua ni mshirika katika suluhu na maridhiono kwenye mahusiano, familia, jamii, Kitaifa na kimataifa....
Jirani yangu kafikwa na mkasa wa kuhuzunisha. Mkewe alikuwa anapitiapitia sms za simu yake akagundua jamaa ana mchepuko ambao unampa huduma ya "Pandezote" yaani huku kwa bibi na kule kwingine kama bonus.
Sasa huyu mama kawaka sana anataka ndoa ivunjwe wakati huyu jamaa bado anampenda maiwaifu wake.
Sasa jamaa kaniomba ushauri afanyaje kumtuliza bimkubwa wake aache mambo ya kutaka talaka badala yake wafocus kuijenga upya ndoa yao.
Heeh!πtaarifa za ugonjwa wake wa kichaa.
Heeh!π
kansa inakujaje mkuuAondoke kabla hajaletewa kansa ya mlango wa kizazi
kuna mjamaa moja aliwahi kuweka bandiko humu jukwaani lenye kichwa hiki, sijui kama nitakua nimemnukuu kiusahihi , kumradhi kwa hilo..kiongozi hili la mke kusomasoma meseji za simu ya mumewe na lenyewe limekaaje maana km lina kaukakasi kidogo nalenyewe. ebu liweke sawa
Kwa RC kwa vile yeye hajaingiliwa kinyume basi atashauriwa amsamehe mumewe, lakini ingekuwa kaingiliwa mwenyewe hapo ruksa kuomba kutengua ndoa.Wameowana ndoa ya dini ipi?
Kama ni Uislam hapo, mwanamke anatowa yeye talaka (khuluu), sifahamu imani zingine kuhusu uzinifu hukumu yake ni nini?
Mwanamke atoi talaka bali anadai talaka kisheria ya ndoa kwenye UislamWameowana ndoa ya dini ipi?
Kama ni Uislam hapo, mwanamke anatowa yeye talaka (khuluu), sifahamu imani zingine kuhusu uzinifu hukumu yake ni nini?
duuh mke naye anatoa talaka?π€Wameowana ndoa ya dini ipi?
Kama ni Uislam hapo, mwanamke anatowa yeye talaka (khuluu), sifahamu imani zingine kuhusu uzinifu hukumu yake ni nini?
Kuna sehemu nimekutag naomba ukaseme neno usizuge km hujaona πππMtumishi, Mama mchungaji Lamomy kipenzi changu,
Naheshimu sana ghadhabu zako katika hili baya zaidi aisee...
kukiri ni ungwana wa kiwango cha juu sana, na ni dhihirisho la ukweli na majuto ya kuililia Nuru, msamahaha, toba na Utakaso wa ukengeufu kwa binadamu na ni mwanzo mzuri sana wa kupata suluhu mujarabu yenye Baraka za Mungu, na huenda huo ndio ukawa msingi au mwanzo wa huyo mubaba kuwa mchungaji na nabii ili akafundishe watu wa Mungu machukizo yasiyompendeza Mungu...
Amen...