Msaada: Mke wangu ana tatizo la uzazi

Nilicho jifunza muda unakiitaji sana kitu hukipati & vise versa is true....

Kuna mstar mmoja wa msanii DARASA CMB anasema
"UKANILETEAGA MIMBA WAKATI HATA KABLA GODORO SIJAWAI NUNUA"

Usiache kuomba MUNGU ni mwema wakati wote...wakati wote Mungu ni mwema...
 
Nitafute NIKUSAIDIE 0779427472
 
Umeenda hospital za maana ama kwa wanesi?

Nenda hospital za kubwa ukapimwe uterus itakuwa Iko week inahitaji kufungwa/kukazwa ama apate full bed rest.

Pole sana ila mpende mkeo ndio huyo Mungu kakupa.
Angekuwa mwanaume nadhani ungeshauri mke mwenzako aachane naye
 
Kama hujapata msaada. Utanicheki sio kuwa Ni biashara hatufanyi hizo biashara Ila mama na sista wanajua mtu fulani nadhani unamaliza hili tatizo. Wao ni wakulima kwa scale ya chini so sio kuwa Ni Wana fanya hizi ishu Ila kwa miti baadhi hata mie naijua ya matumbi yetu haya yanayotusumbua.
 
Asante Senior Chukua makopa kopa yako
 
Muda mwingine huwa linanijia swala la kwenda kwa waganga wa kienyeji manaa kabla kuwa na uyu mke wangu nilikuwa na mwanamke ambaye nilimuacha kwa kuwa tulishindwana kitabia na mambo mengi, hakuwa ameridhika nadhani mpaka sasa anakinyongo na mimi .
Nenda kwa Mwamposa nakuhakikishia mtoto unapata huyo baby mama wako atakua kashafanya yake
 
Njoo PM nikupe namba za mtaalamu aliemsaidia mpenzi wangu nilietafuta nae mtoto tangu 2018 bila bila ila huyu Bibi hata mwezi dawa zake hazijafikisha UPT positive. (nataman wawe mapacha 6)
Naomba niku PM mkuu..
Shemeji yako anatatizo la kutoshika mimba
 
Mkuu vipi..
 
hama sehemu unayoishi kaishi mbali utakuja kunishukuru
 
Mara nyingi Magroup ya damu ya aina fulani fulani hua yanachangia kama msipoendana..

Jaribu kuchunguza na kufatilia hili, Naamini utapata solution .
 
Suala la kutokushika mimba kwa mwanamke lina sababu nyingi sana tofauti na wengi ambavyo huwa wanafikri na kila mwenye tatizo anaweza kuwa na sababu yake.
Kuna wengine huonyesha dalili za mimba lakini baada ya siku kadhaa wanaendelea kuwa period,hii pia inaweza kuwa mimba huwa anashika lakini inatoka bila yeye kufahamu na kufikri tu ameingia period kawaida.
Kwa hiyo ili upate msaada kuhusu jambo kama hili inahitaji kuchukua maelezo ya kutosha sana kutoka kwa mhanga.Unaweza kumaliza hosp zote lakini kumbe tatizo ni dogo tu na mwanamke akapata mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…