- Thread starter
- #81
Nilikuwa na watoto 3 mmoja akafariki akiwa na miaka 2 ,nimebakiwa na watoto wawili.Mtoa mada je na wewe una mtoto wa nje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa na watoto 3 mmoja akafariki akiwa na miaka 2 ,nimebakiwa na watoto wawili.Mtoa mada je na wewe una mtoto wa nje?
Na kila mmoja na mama ake?Nilikuwa na watoto 3 mmoja akafariki akiwa na miaka 2 ,nimebakiwa na watoto wawili.
Ndio wote watatu walikuwa mama tofauti, na wanawake 3 walitoa mimba tena mmoja ikiwa na miezi 6.Na kila mmoja na mama ake?
Nilicho jifunza muda unakiitaji sana kitu hukipati & vise versa is true....Ilipotoka ya pili tuliambiwa tukae miezi 6 kweli tulikaa na ikapita 8 akapata ujauzito uliokaa mwezi mmoja tu ukatoka. Sasa pressure kubwa kutoka watu wanaotuzunguka kuwa ni muda mrefu kwenye ndoa hakuna mtoto kila mwezi tunatafuta mimba ndo hyo haipatikan.
Huwa inaleta mushikeli, inafika hatua wengine wanakimbilia kwa waganga.Nilitaka kumwambia hili umeniwahi, niliwahi kupata hili tatizo
Nitafute NIKUSAIDIE 0779427472Nimeishi na mke wangu kwa mwaka mmoja na nusu.
Alipata ujauzito mara ya kwanza katika maisha yake, ule ujauzito ulidumu kwa miezi 3 kisha ukatoka.
Akapata ujauzito kwa mara ya pili huu ulikaa kwa muda wa miezi 2 ukatoka.
Akapata ujauzito kwa mara ya tatu huu ulikaa kwa muda mwezi mmoja tu ukatoka yani tulivyopima ujauzito haikupita siku 3 ukatoka.
Tukienda hospitali zenye specialist wa masuala ya uzazi wanampima na wanasema hana tatizo lolote.
Sasa imekuwa ngumu kupata ujauzito na sijui tatizo ni nini? Yaani kila mwezi anaonesha dalili za ujauzito ila ukipima hamna kisha anaingia kwenye siku zake.
Angekuwa mwanaume nadhani ungeshauri mke mwenzako aachane nayeUmeenda hospital za maana ama kwa wanesi?
Nenda hospital za kubwa ukapimwe uterus itakuwa Iko week inahitaji kufungwa/kukazwa ama apate full bed rest.
Pole sana ila mpende mkeo ndio huyo Mungu kakupa.
Mbona unaandika vitu havieleweki? Edit kidogo basi.Angekuwa mwanaume nadhani ungeshauri mke mwenzako aachane naye
Asante Senior Chukua makopa kopa yakoHii kitalamu inaitwa Rhesus factor hii Hali hutokea ikiwa mwanamke atakua na group la damu (A,B, AB, 0 negative) na mwanaume akiwa na positive...............
Ikiwa ivyo
Itabidi mkewe awe anachoma ANT D Injection dactar atashaur iwe early wakati wa ujauzito na ama kabla ya masaa 72 baada ya kujifungua....
Ant D Injection wholesale price 120,000 mpak 135,000 huko hospital wanachoma Kwa 200,000 mpaka 250,000
Nikiwa kama mdau wa afya MWANDAMIZI senior Kwa Sasa ni hayo.....
Pia anaweza ku chimba deep Kuna wadau wengi wa afya humu ndani wamewai kielezea humu Jf anaweza ku search...
Nenda kwa Mwamposa nakuhakikishia mtoto unapata huyo baby mama wako atakua kashafanya yakeMuda mwingine huwa linanijia swala la kwenda kwa waganga wa kienyeji manaa kabla kuwa na uyu mke wangu nilikuwa na mwanamke ambaye nilimuacha kwa kuwa tulishindwana kitabia na mambo mengi, hakuwa ameridhika nadhani mpaka sasa anakinyongo na mimi .
Naomba niku PM mkuu..Njoo PM nikupe namba za mtaalamu aliemsaidia mpenzi wangu nilietafuta nae mtoto tangu 2018 bila bila ila huyu Bibi hata mwezi dawa zake hazijafikisha UPT positive. (nataman wawe mapacha 6)
Mkuu vipi..Kama hujapata msaada. Utanicheki sio kuwa Ni biashara hatufanyi hizo biashara Ila mama na sista wanajua mtu fulani nadhani unamaliza hili tatizo. Wao ni wakulima kwa scale ya chini so sio kuwa Ni Wana fanya hizi ishu Ila kwa miti baadhi hata mie naijua ya matumbi yetu haya yanayotusumbua.