Msaada: Mke wangu anataka tuwe tunaishi na mtoto wa dada yake kila wikiendi na likizo

Mkuu Kuna mwanamke wamiaka29 anaweza kupewa mimba bila kutaka
 
Umeandika kwa hasira bila kumsoma vizuri mwandishi,mwenye mtoto si msichana mdogo,pia huyo mama mwenye mtoto hataki kumhusisha malezi baba mtoto sababu huyo jamaa yupo na mwanamke mwengine,na jamaa hajali kiivyo.mwandishi asilazimishwe majukumu.
 
Hakuna ustawi wa jamii?..baba asuse kumlea mtoto wake kisa kaoa mke mwingine?..hell no,lazima awajibishwe

Na mimi sijazungumzia hii ya huyu mtoto kuja weekends na likizo..nimeenda mbali na kuangalia kinachoweza kuja kutokea baadae,kwamba malezi ya mtoto yakawa ni jukumu rasmi la familia ya jamaa..kitu ambacho kimsingi sio kizuri wazazi wake wapo,wafanye co-parenting
 
Mkuu Hana tabia zakishenzi Ila tatizo nikuwa mtoto kashaadapti michezo yakike maana hata umletee vitu vya mchezo wakiume havitumii mda wote unkuta anacheza michez yakike namwezio Sasa kwangu naona nitatizo Hilo maaan mama mtu Hana habar kwake nisawa
MWAnao tabia za kike anazo kwenye gene zake!
Kwann huyo wa kike asiadapt tabia za kiume???
Utapompeleka kwa wakiume jiandae NAO wamdonoe
 
Mkuu ushazungumzia wangu wamwingne Kama anakulia ktk tabia chafu utakubali awe mda wote na mwanao
MWAnao ndo anakulia tabia chafu!!
Anazungukwa na tabia za kike ushasema!
Afu kuonana na huyo binti ni siku 3 tu ktk 7 maanake muda mwingi yupo ktk uchafu
 
Wacha kufikiria unamlelea huyo mwanaume mtoto na aanza kufikiria kuwa unalea mtoto wa shemegi yako. Hakuna ubaya wowote, kama uwezo unao mwache akae ata milele, msomeshe, mhudumie.

Huwa mnanishangaza sana watu kama nyie, unapooa hio familia ya mkeo wanakuwa ndugu zako tena, kuwasaidia unapokuwa na uwezo si vibaya kama uwezo huna, basi mueleze tu mkeo, na kama mamake anaweza kumhudumia mwenyewe basi mwache akae tu.

Watu waache kufikiria kuwa familia yako ni wewe na mkeo na watoto wako tu.
 
Wee nae acha uchoyo
Huwezi kujua maishani nani atakusaidia au kumsaidia mwanao
 
Mkuu sio kiroho mbaya kunatabia ambazo mtoto kashaadapt zakike namama mtu anaona kawaida kwake
Ina maana angekuwa wako huyo mtoto wa kike ungesema asicheze na kaka ake kisa ataadapt michezo ya kike?
 
Mkuu lengo siko uko mtoto kashaanza kubeba tabia zakike sababu ya mda mwingi yupo nawakike namama harekebishi kwake nisawa
Samaki hukunjwa angali mbichi... wewe kama mwanaume na kama mtoto wa kiume basi muweke karibu na wewe sana. Ukitoka mchukue kidogo kutembea nae awe anakaa na wanaume wenzake au hata mtaani km wapo size yake yake muweke acheze nao.

Huyo ni mwanao na umlee kama mwanao uliemzaa.
 
Baba na mama wa mtoto wake chini wajue watasaidiana vip kumlea mtoto wao,sababu wao ndo wazazi wake na ndo walomleta hapa duniani,wasikupe stress wewe.
sio mtoto wao, mtoto wa kike wa miaka 6 ni wa mke wa Malembeka soma Kasie hajajibiwa
Basi kuna asilimia huyo mtoto wa kike ni wa mkeo kabla hamjakutana.

Mkuu Kuna mwanamke wamiaka29 anaweza kupewa mimba bila kutaka
malembeka 18 , mm nakuunga mkono sana na kweli silei mtoto wa mtu, kwa hiyo mtoto mrudishe kwao kwa kumuita baba wa mtoto pembeni au hata Bar
au mwambie mkeo hapo ni mwisho akueleze mtoto ni wa nani
km ni mimi ningetoka na hyo dada wa mkeo kwa matembezi ya mara kwa mara ungegundua mengi Mtoto wa kike wa miaka 6 sio wake ni wa mkeo,
fanya hivyo na uvumilie tupe mrejesho, Dada mtu hawezi acha penda mwanae
 
Mkuu Kuna mwanamke wamiaka29 anaweza kupewa mimba bila kutaka
Tatizo sio kupewa mimba, tunafahamu jinsi mahusiano yalivyo..both me na ke ni tatizo, kushindwa kuoana ni Jambo lingine. Lakini inapotokea hivyo basi tujifunze kurekebisha baadhi ya mambo ili kukuza kizazi bora na sio kukomoana. Mwisho wa siku watoto ndio wanapata madhara kwa ubinafsi wetu.
Najua hutanielewa maana unajifikiria wewe tu na familia yako..huwazi watoto wengine waliokosa nafasi ya kuishi na wazazi wote wawili.
Si lazima ugharamie mtoto ambao sio wa kwako lakini basi jaribu kuvumilia mambo madogo Kama hayo. Mtoto atakua na maisha yatasonga..acha kumtenga.
 
Huyu mwenzetu hajaombwa alee mtoto wa mtu, bali ni mtoto wa shemeji yake kuja mara kwa mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…