Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu. Tuna kaka yake wa miaka 5, tulikwenda nae vyema, japo malezi ya firstborn. All in all tutaongeza juhudi ya kumuongeleshaUbongo wa mtoto ni karatasi nyeupe, kila unachomlisha kinajaa kwenye akili yake, lakini kumbuka unatumia penseli hivyo basi usisahau kurudia vile unavyomwambia itamsaidia kukariri ama kukumbuka
Pole sana mkuu. Mungu awafanyie wepesi. And may your faith be rewarded handsomely.Mwanangu Yuko kama wako, nimepeleka Kwa madoctor wote wa maskio, kinywa wakubwa.lakini wanasema Yuko sawa.ila kuongea haongei.akikasirika anaongea maneno hatuyaelewi. Kama mzazi inaumiza, but I have strong faith that one day she will be able to talk just like other kids.Love my child to death.
Asante sana kwa kutupa moyo. UbarikiweMiaka 2/3 ni kawaida sana. Usitishike ataongea. Nimelea watoto naelewa. Wanatofautiana sana. Akifika 4 haongei kabisa hapo una haki ya kuwa na wasiwasi. Kama ukimwita anasikia na huwa unamsikia akiongea baadhi ya maneno hata kama si kwa usahihi usihofu.
Pole sanaWako angalau.. Wangu next mwez wa 9 anatimiza 3yrs. Haongei kabisa. Nshampelema had hosp wakakata kile kilimi cha chini ya ulimi, lkn wapi. Anaongea maneno yasiyoeleweka.. Kusikia anasikia, ukimwita anakuja, katuni akisikia inaimba sebulen na tupo chumban anakurupuka anaenda sebulen. Means anasikia... Kuongea sasa..hasemi hata mma, mama au lolote.
Akitaka maji anakuletea kikombe.. Chooni anavua nguo then anakushika mkono, km kuchangamana apa home na kaa na watoto wawili wengine, achilia mbali majiran.. Ingawa huwa hachezi na wenzie.. Yy anacheza peke yake, na pembeniii.. Au anakaa ndani
Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo akamtendea miujiza mwanao akue katika Hekima na Kimo kama impasavyo.Amen to that mkuu. Na ikawe kama umneneavyo
Tunamuombea. Mungu atafanya wepesi kwa wakti sahihiAombewe ataongea au bado muda watoto wasikuhizi lazima kitu fulani kinachelewa ila ataongea pwnda kumuongelesha kucheza naye kila ukicheza naye muongeleshe ila mimi ningeenda kwa waganga siku hizi wanadamu. Siwaamini.
mpe muda,ukute ana usonji na usonji n dalili ya geniuosWako angalau.. Wangu next mwez wa 9 anatimiza 3yrs. Haongei kabisa. Nshampelema had hosp wakakata kile kilimi cha chini ya ulimi, lkn wapi. Anaongea maneno yasiyoeleweka.. Kusikia anasikia, ukimwita anakuja, katuni akisikia inaimba sebulen na tupo chumban anakurupuka anaenda sebulen. Means anasikia... Kuongea sasa..hasemi hata mma, mama au lolote.
Akitaka maji anakuletea kikombe.. Chooni anavua nguo then anakushika mkono, km kuchangamana apa home na kaa na watoto wawili wengine, achilia mbali majiran.. Ingawa huwa hachezi na wenzie.. Yy anacheza peke yake, na pembeniii.. Au anakaa ndani
Acha wasiwasi. Kwani mtoto anatakiwa aongee na umri gani.Natumai nyote mko vyema. Moja kwa moja kwenye mada, nina mtoto wa kiume ambaye mwezi wa sita mwaka huu ametimiza miaka miwili. Stages nyingine zote kama kukaa, kutambaa, kutembea, kuanza kuota meno etc. alizipitia kwa wakati. Akiwa na around mwaka mpaka mwaka na nusu alikuwa anaweza kusema mom, dady na kutaja vitu vichache. Lakini ghafla alipoteza uwezo wa kuongea. Kwa sasa anatoa tu sauti zisizo na mpangilio wowote wa lugha. Ninaomba kwa yeyote mwenye uzoefu, anayefahamu tatizo na tiba, anayemfahamu daktari au anayeweza kusaidia kwa namna moja ama nyingine, asaidie. Kwa nyumbani anaishi na kaka yake wa miaka 5, ambae anaongea vizuri tu. Tumemuanzisha pia daycare ili achangamane na watoto wenzake, amefanikiwa tu kuchangamka na kuongeza interaction, lakini suala la kuongea bado limekuwa changamoto. Msaada tafadhali
Sijazaa Bado na sitaikumbuka wala nnKama umeshazaa na watoto wote wako perfect mshukuru mungu.na kama bado siku moja utaikumbuka hii msg Yako.
Hospital gani hiyo mkuu wanakata vilimi??? Mshangao mkubwa sanaWako angalau.. Wangu next mwez wa 9 anatimiza 3yrs. Haongei kabisa. Nshampelema had hosp wakakata kile kilimi cha chini ya ulimi, lkn wapi. Anaongea maneno yasiyoeleweka.. Kusikia anasikia, ukimwita anakuja, katuni akisikia inaimba sebulen na tupo chumban anakurupuka anaenda sebulen. Means anasikia... Kuongea sasa..hasemi hata mma, mama au lolote.
Akitaka maji anakuletea kikombe.. Chooni anavua nguo then anakushika mkono, km kuchangamana apa home na kaa na watoto wawili wengine, achilia mbali majiran.. Ingawa huwa hachezi na wenzie.. Yy anacheza peke yake, na pembeniii.. Au anakaa ndani