Msaada: Mtoto kupoteza uwezo wa kuongea

Pole mkuu kuwa na subira wakati ukifatilia matibabu
 
Ubongo wa mtoto ni karatasi nyeupe, kila unachomlisha kinajaa kwenye akili yake, lakini kumbuka unatumia penseli hivyo basi usisahau kurudia vile unavyomwambia itamsaidia kukariri ama kukumbuka
Asante mkuu. Tuna kaka yake wa miaka 5, tulikwenda nae vyema, japo malezi ya firstborn. All in all tutaongeza juhudi ya kumuongelesha
 
Pole sana mkuu. Mungu awafanyie wepesi. And may your faith be rewarded handsomely.
 
Asante sana kwa kutupa moyo. Ubarikiwe
 
Pole sana
 
Aombewe ataongea au bado muda watoto wasikuhizi lazima kitu fulani kinachelewa ila ataongea pwnda kumuongelesha kucheza naye kila ukicheza naye muongeleshe ila mimi ningeenda kwa waganga siku hizi wanadamu. Siwaamini.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa miaka miwili unaanza kupata mawengee...!! Mpe muda mtoto maneno yashakuwa mengi mnamvuruga tuu.. watoto wa kiume wanachelewa sana kuongeaa usijeanza mpa midawaa mtoto
 
Tunamuombea. Mungu atafanya wepesi kwa wakti sahihi
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa miaka miwili unaanza kupata mawengee...!! Mpe muda mtoto maneno yashakuwa mengi mnamvuruga tuu.. watoto wa kiume wanachelewa sana kuongeaa usijeanza mpa midawaa mtoto
Asante sana kwa ushauri.
 
mpe muda,ukute ana usonji na usonji n dalili ya geniuos
 
Acha wasiwasi. Kwani mtoto anatakiwa aongee na umri gani.

Miaka 2 bado sana.
 
Hospital gani hiyo mkuu wanakata vilimi??? Mshangao mkubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…