Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Dah ila sisi sijui tunataka nn 😝😝😝
 
Hiyo ni silaha ya mwanaume kuweka distance ili usijue madudu yake. Ukikaa naye so close utadukua mambo yake, mara ushike simu yake.
 
Shukuru mungu wenzako wanatumia dildo
 
Mume yupi unayemjua ambaye alikuwa anakupa muda wa kuongea na hapendi sex?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…