Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Kawaida sana.
Kwani uliolewa kwenda kuongea au kumstarehesha mume? Acha utoto.
 
Nimekuelewa
 
Unaeza kuongea kuhusu mpira?
Unajua Chongolo kafanyaje?
Unajua Israel na Palestina wanapigania nn?
Unawajua Hamas au Iris?
Unajua kuhusu ngiri?
Dolla ikishuka na kupanda unajua?
Bei ya petroli je?

Sasa unataka mumeo muongee nini?
BE a wife! entertain him , mpikie, mpambie nyumba paka wanja, nukia udi kaa hapo.

TAFUTA MAGRUPU YA UMBEA fanyia huko!
TAFUTA MAGRUPU YA RECIPES jifunze kupika!
TAFUTA wanakpjifunza keki!
Alokwambia MUMEO ANAPASWA KUWA KILA KITU/MTU uNAYEMUHITAJI NI NANI?
hAVE FRIENDS, MUACHE AWE NA MARAFIKI nje huko wakonyeze konyeze kwa uhuru akirudi nyumbani muoneshe we ndo mkewe.
 
Yaana katika maisha yangu sex sio kila kitu kwangu labda ndo sababu naumie hivu mume wangu kitandani yuko vizuri ila siyo romantic. Hii ndo inaniuma mimi
Unalolitafuta utalipata nyau wewe!

Endelea!
Ngoja upate walio romantic wakuchatishe 24/7 af utacheck picha
mxxxxxiiie!
 
Uliingia ndoa kama fasheni na sasa kamasi zinakutoka.

Tena jitahidi usilalr na nguo bebe
 
Ng'ang'ania hapohapo...siju hizi wanaume wa kibaskeli kupandia dar kushukia kagera wameisha..wengi wakipanga safari kutokea dar wanatamani kufika kigoma lakini wanaishia mbezi hawezi tena. Furahia maisha
 
Nimeamini ndoa siyo mchezo mchezo..
Mwanaume anatimiza majukumu yake YOTEEEE..
Bado anatakiwa awe mbeya, mastori, uongo, kusema watu, kusengenya, kujifanya shoga wako nk nk nk
Sishangai vijana kukimbilia ushoga au njemba za kiume kukimbia ndoa!
Dunia ya sasa kwa mwanaume ni mtihani kwa kweli...
😢😢😢😢😢
 
Upumbavu.
 
Nashukuru ndo hicho nacho kimaanisha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…