Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
πSi hizo mil 5Haha
Dada,, em nitonye mahari ya kukomoa uwa ikoje ππππ
Yeye hakumwoa kwa kumshirikisha hayoNashukuru ndo hicho nacho kimaanisha mkuu
Sasa miaka yote hiyo ndo bado unawaza kukenuliana na mumeo? Hayo mambo waachie akina Badal Mejibuul na akina ShalkhanMiaka mitatu
Hahahahaha,huyu si atazalia nyumbani ?πSi hizo mil 5
Koti la babu,wajomba
Mitandio ya wabibi
Pombe mitungi ya kutosha
Pilau,nyama,mbegeres isikose
Hela ya malipo kwa mzaa chema
Hahah lazimah atombwelwe hiyo,hadi azeeke ,dadeek
Pole sana watu wa hivyo kwa experience hiyo hapo ni vigum sana kuchange ila ni mbaya sana.Nashukuru ndo hicho nacho kimaanisha mkuu
ππππ nmecheka sana kipepeoπSi hizo mil 5
Koti la babu,wajomba
Mitandio ya wabibi
Pombe mitungi ya kutosha
Pilau,nyama,mbegeres isikose
Hela ya malipo kwa mzaa chema
Hahah lazimah atombwelwe hiyo,hadi azeeke ,dadeek
Ni kweli ndo kinacho niuma nipe ways za kuishi nae nisitesekeNilichoelewa mimi mume wako amebeba majukumu mawili lakini wewe unataka matatu.
Yeye ana
1. Kutunza familia
2. Tendo la haki
Wewe unakosa
3. Ukaribu, kubembelezwa, kudeka, na mengineyo yoote yaendanayo na haya.
Hatari yake ni kwamba akitokea mtu yeyote akakupa attention mwamba amekwisha.
Ndivyo mioyo ya wanawake inafanya kazi.
Nashukuru sana kwa ushauri wakomke mwema ana sifa tatu my dia
1. awe fundi wa mapishi hii siku hizi wengi tunajitahidi kutoa boko marachache
2. awe mtaalam chumbani, mwanamke ujue kucheza na hisia za mumeo, ujue mpaka akakuoa means una kitu na hajakipuuza sasa ujue huyo sio kaka yako ni MUMEO, ukute unashinda na kijora siku nzima, chup hubadili, pengine unamuekea limits akifanya hiki hapana af ukute ndio mambo anapenda ukiwa na mumeo uwe malaya kwake jiachie baby gal, yan mfanye ajisikie nyumban ndio sehem nzuri na ya aman hata akiwa kazini akumbuke kuwahi kurudi
3. mwanamke lazima awe n lugha tamu hata akiwa na hasira, yan amekukera atabaki kua mumeo mhudumie mfanye yyee ndio number one kwako ukikasirika zuia hasira ongea naye
n.b mwanaume n kiumbe dhaifu sana ukimjulia.
Sawa nime kuelewa nashukuruWe dada.... Wanawake wenzio wanalalama hawaguswi miezi 6 .... Wewe unasuguliwa kila kukicha unaleta mada ya kulalamika.... Badilisha namna unavyoongea na mumeo. Ongeza unyenyekevu na usikivu.... Atakupa muda. Kuwa more romantic, acha kushindana naye kila wakati..... Atakupa muda wa kutosha kabisa.
πππππJf never boring, umeotea kadi lake la clinicBinti wa 2001 una ndoa ya miaka 3?
nisamehe, ila nashindwa kuelewa
Point, ila kuvumilia miezi 6 wanawake mna moyoWe dada.... Wanawake wenzio wanalalama hawaguswi miezi 6 .... Wewe unasuguliwa kila kukicha unaleta mada ya kulalamika.... Badilisha namna unavyoongea na mumeo. Ongeza unyenyekevu na usikivu.... Atakupa muda. Kuwa more romantic, acha kushindana naye kila wakati..... Atakupa muda wa kutosha kabisa.
Mwanamke nayemtafuta huyu hapa. Umeolewa?mke mwema ana sifa tatu my dia
1. awe fundi wa mapishi hii siku hizi wengi tunajitahidi kutoa boko marachache
2. awe mtaalam chumbani, mwanamke ujue kucheza na hisia za mumeo, ujue mpaka akakuoa means una kitu na hajakipuuza sasa ujue huyo sio kaka yako ni MUMEO, ukute unashinda na kijora siku nzima, chup hubadili, pengine unamuekea limits akifanya hiki hapana af ukute ndio mambo anapenda ukiwa na mumeo uwe malaya kwake jiachie baby gal, yan mfanye ajisikie nyumban ndio sehem nzuri na ya aman hata akiwa kazini akumbuke kuwahi kurudi
3. mwanamke lazima awe n lugha tamu hata akiwa na hasira, yan amekukera atabaki kua mumeo mhudumie mfanye yyee ndio number one kwako ukikasirika zuia hasira ongea naye
n.b mwanaume n kiumbe dhaifu sana ukimjulia.
Kwani ni kweli wewe wa 2001Huyo jamaa sio poa sijuw kajuwaje