Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Nilichoelewa mimi mume wako amebeba majukumu mawili lakini wewe unataka matatu.

Yeye ana
1. Kutunza familia
2. Tendo la haki

Wewe unakosa
3. Ukaribu, kubembelezwa, kudeka, na mengineyo yoote yaendanayo na haya.

Hatari yake ni kwamba akitokea mtu yeyote akakupa attention mwamba amekwisha.
Ndivyo mioyo ya wanawake inafanya kazi.
Ni kweli ndo kinacho niuma nipe ways za kuishi nae nisiteseke
 
mke mwema ana sifa tatu my dia
1. awe fundi wa mapishi hii siku hizi wengi tunajitahidi kutoa boko marachache

2. awe mtaalam chumbani, mwanamke ujue kucheza na hisia za mumeo, ujue mpaka akakuoa means una kitu na hajakipuuza sasa ujue huyo sio kaka yako ni MUMEO, ukute unashinda na kijora siku nzima, chup hubadili, pengine unamuekea limits akifanya hiki hapana af ukute ndio mambo anapenda ukiwa na mumeo uwe malaya kwake jiachie baby gal, yan mfanye ajisikie nyumban ndio sehem nzuri na ya aman hata akiwa kazini akumbuke kuwahi kurudi

3. mwanamke lazima awe n lugha tamu hata akiwa na hasira, yan amekukera atabaki kua mumeo mhudumie mfanye yyee ndio number one kwako ukikasirika zuia hasira ongea naye

n.b mwanaume n kiumbe dhaifu sana ukimjulia.
Nashukuru sana kwa ushauri wako
 
We dada.... Wanawake wenzio wanalalama hawaguswi miezi 6 .... Wewe unasuguliwa kila kukicha unaleta mada ya kulalamika.... Badilisha namna unavyoongea na mumeo. Ongeza unyenyekevu na usikivu.... Atakupa muda. Kuwa more romantic, acha kushindana naye kila wakati..... Atakupa muda wa kutosha kabisa.
Sawa nime kuelewa nashukuru
 
Point, ila kuvumilia miezi 6 wanawake mna moyo
 
mke mwema ana sifa tatu my dia
1. awe fundi wa mapishi hii siku hizi wengi tunajitahidi kutoa boko marachache

2. awe mtaalam chumbani, mwanamke ujue kucheza na hisia za mumeo, ujue mpaka akakuoa means una kitu na hajakipuuza sasa ujue huyo sio kaka yako ni MUMEO, ukute unashinda na kijora siku nzima, chup hubadili, pengine unamuekea limits akifanya hiki hapana af ukute ndio mambo anapenda ukiwa na mumeo uwe malaya kwake jiachie baby gal, yan mfanye ajisikie nyumban ndio sehem nzuri na ya aman hata akiwa kazini akumbuke kuwahi kurudi

3. mwanamke lazima awe n lugha tamu hata akiwa na hasira, yan amekukera atabaki kua mumeo mhudumie mfanye yyee ndio number one kwako ukikasirika zuia hasira ongea naye

n.b mwanaume n kiumbe dhaifu sana ukimjulia.
Mwanamke nayemtafuta huyu hapa. Umeolewa?
 
Back
Top Bottom