Huhuuuu kabisaHakupendi huyo 😂 au laaa ndo wale wapole, upole wa kuzubaa zubaa.
Real boyfriend/ husband lazima mpige story,, mixer ma umbea mbalimbali… tena akikuona umempa umbea wa uongo akusute 😀🤣
Tatizo la wadada wengi huwa ni kuwalalamikia wanaume ila sasa tatizo hataki kulisema, they are playing in a victim side always.Afike wapi sasa wakati bint anakinyongo, kama una ndoa utamuelewa hiyo bidada. Kama huna subiri mwanzo wa ngoma ndiyo utajua mziki wa huyo dada.
Labda ukatafute mwanamke wa kizungu au kihindi, hawa ukijifanya una kazi nyingi alaf ile hamu yako ikakata , wanaenda kwingine. Alaf wahindi wengi wanaoa watu fresh haijatumika, so tabu hakuna.Ukiona kijana wa Africa ameoa ujue anatafuta ngono wapo watu wachache Sana ambao wamevuka hiyo hatua ya kuiwaza ngono na wengi ndo hao wametuajiri
Kabisa.Nilichoelewa mimi wako amebeba majukumu mawili lakini wewe unataka matatu.
Yeye ana
1. Kutunza familia
2. Tendo la haki
Wewe unakosa
3. Ukaribu, kubembelezwa, kudeka, na mengineyo yoote yaendanayo na haya.
Hatari yake ni kwamba akitokea mtu yeyote akakupa attention mwamba amekwisha.
Ndivyo mioyo ya wanawake inafanya kazi.
Ndiyo dereva, lawama haziendi kwa abiria.Tatizo la wadada wengi huwa ni kuwalalamikia wanaume ila sasa tatizo hataki kulisema, they are playing in a victim side always.
Usifananishe maisha ya daladala na ndoa. Dereva sio kiongozi, yeye huongozwa pia, ndo maana ajali ikitokea ataenda kujiokoa, hajali abiria. Mwanaume ni kiongozi, haongozwi na mtu, ndo maana ikitokea ajali, atahakikisha anaokoa familia yote hata kurisk uhai wake.Ndiyo dereva, lawama haziendi kwa abiria.
Una kitu usikilizwe.mke mwema ana sifa tatu my dia
1. awe fundi wa mapishi hii siku hizi wengi tunajitahidi kutoa boko marachache
2. awe mtaalam chumbani, mwanamke ujue kucheza na hisia za mumeo, ujue mpaka akakuoa means una kitu na hajakipuuza sasa ujue huyo sio kaka yako ni MUMEO, ukute unashinda na kijora siku nzima, chup hubadili, pengine unamuekea limits akifanya hiki hapana af ukute ndio mambo anapenda ukiwa na mumeo uwe malaya kwake jiachie baby gal, yan mfanye ajisikie nyumban ndio sehem nzuri na ya aman hata akiwa kazini akumbuke kuwahi kurudi
3. mwanamke lazima awe n lugha tamu hata akiwa na hasira, yan amekukera atabaki kua mumeo mhudumie mfanye yyee ndio number one kwako ukikasirika zuia hasira ongea naye
n.b mwanaume n kiumbe dhaifu sana ukimjulia.
Mengi sanaNo chemistry there.
Hamuendani.
Hayo mahusiano mmefanya kufosiana matokeo yake ndio hayo no intimacy [emoji108][emoji108]
Yapo mahusiano mengi ya hivyo Mbona kwenye jamii yetu.
Wengine mke na mume wanachoweza kuongea pamoja ni kusema Mchele umeisha au mke kuomba Hela ya matumizi basi [emoji108]
Hilo daladala umelisema wewe, tatito mnageuza geuza maneno km chapati hayaaaaUsifananishe maisha ya daladala na ndoa. Dereva sio kiongozi, yeye huongozwa pia, ndo maana ajali ikitokea ataenda kujiokoa, hajali abiria. Mwanaume ni kiongozi, haongozwi na mtu, ndo maana ikitokea ajali, atahakikisha anaokoa familia yote hata kurisk uhai wake.
Tuachane na daladala, tuingie airport pale, dereva wa ndege haongozwi? Anaongozwa.Hilo daladala umelisema wewe, tatito mnageuza geuza maneno km chapati hayaaaa
Sasa ukiwa romantic sana utakufa masikini.Nyie si mnaangaliaga maslahi?!
Mnataka Mwanaume mwenye vijihela?!
Hao wengi they are not romantic [emoji307]
Unalo gari wewe, achana na ndege.Tuachane na daladala, tuingie airport pale, dereva wa ndege haongozwi? Anaongozwa.
gari lenyewe sio dereva aliyetengeneza.Unalo gari wewe