Msaada: Mume wangu tukiwa pamoja ni sex tu, hanipi muda tukakaa tu na kuongea

Tatizo la kupendana mkiwa ndani ya ndoa,ilitakiwa mnapendana kwanza ndiyo mnaingia kwenye ndoa, na siyo mnaingia kwanza kwenye ndoa ndiyo mnaanza kupendana.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mruhusu aoe mke wa pili, ili akisex huko kwako zinabaki stori tu
 
Mlie kipipi mahaba kila mkiikutana unampelekea moto wa kufa mtu mpaka awe anaogopa kurud nyumbani ukimpa hio siku tatu atakua mnyonge yeye
 
Mmeo ni introvert hata mimi nikiri kipindi cha mwanzo nilikuwa niko hivyo but kadri mda ulivyokuwa unaenda nikawa na change hasa nlikuwa siyo mzungumzaji sana.

Mwenzangu alilistukia hilo kabla bas ikawa nkitoka mihangaikoni yeye anaweka mada mezani/miradi naachiwa mimi nichangie mpaka ikafkia kipindi nikazoea.

So mvumilie na mzoee na jenga reason ya kuongea nae sio karud tu unakausha kimya kama kumpimia kama ataongea au atapanga hili au lile bali anzisha utaona tu na yeye pole pole anachange
 
Nachukia hii kitu
Kumbe hata kwenye ndoa kipo?
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…