Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa siku hizi nani kawaloga? Unahitaji kuambiwa nini kwamba mtoto si wako?Nina taka kufanya hivo ila sasa upande wa nyumbani kwetu huwa wanamuulizia huyu mtoto nami nakosa cha kuwajibu.
Asante sana mkuu.Mkuu kitu cha kwanza fungua kesi upime DNA kuthibitisha kama mtoto ni wako,
Kisha mambo mengine yafuate,
Mtoto kaandikishwa kwa jina lako? Yaani kwa ubini wako?
Halali hua haipotei,
Pole sana mkuu,
Good luck
Sababu ni hii hapa,inaonyesha hakuna mawasiliano mazuri kati yenu na ndio maana hata sasa unaishi na mwanamke mwingine,Mkuu nashukuru kwa ushauri huu lakini nachotaka nimalize kabisa hili suala. Nifunge kurasa kama nina mtoto nae au sina isije badae nikajutia kwamba mtoto ni wangu na nilimwacha kwa muda mrefu.
Hata kama sio wangu nijue tu sitadai gharama wala sita laumu mtu ila niwe free sina kwamba sina mtoto nae. Kwa sasa wakati mwingine roho inaniuma nikikumbuka nina mtoto na sifanyi lolote juu yake.
Nikithibitisha sio wangu nitakuwa free zaidi kwani hata sasa ninaishi na mwanamke mwingine.
Unapoteza muda bure. Dada wa watu kajitahidi kukupa ukweli indirectly wewe unashupaa.Hahaa mkuu kutafuta sio suala kubwa kama kuthibitisha ili badae tusijuane.
Kutambua sio kukujua ni kwa kutoa posa na kulipa mahari.bahati mbaya tayari una mtu mwingine unaishi naeKw
Kwao wananitambua hata wakati ameenda kujifungua ni mama yake ndio tulikuwa tunawasiliana nae. Mama zake mdogo wameshawahi kukaa kwangu kwa siku kadhaa kwa vipindi tofauti.
Mtoto so wakoWakuu Salaam,
Moja kwa moja kwenye mada. Mwaka juzi nilipata mtoto na mwanamke mmoja nilikuwa nikiishi naye wakati huo.
Kipindi chote cha ujauzito alikuwa akiishi kwangu mara baada ya kujifungua akaenda nyumbani kwao kupata msaada wa karibu. Alijifungua vizuri mtoto wa kike na baada ya miezi 2 alikuja na mtoto na kukaa siku kadhaa akarudi tena kwao.
To cut story short ni kwamba ilipita muda haji kwangu na kuomba tu matumizi ya mtoto kupitia simu baada ya muda kupita nikamwambia nataka nimuone mtoto mana nimemmiss muda sasa akawa analeta story tu mtoto hamleti.
Nikaamua kukata kutuma hela hadi mtoto aje/aletwe nimuone basi ikawa shida hakumleta mtoto tangu muda huo. Umepita muda sasa mwaka sijamuona mtoto nahitaji kumuona nimeenda kwao lakini nazungushwa kwamba hayupo kasafiri wakati marafiki zake wanasema yupo.
Sasa wakuu naomba tusaidiane nianzie wapi ili kushinikiza kumuona huyu mtoto niende serikali za mtaa au police kabisa? Na kama kuna njia nyingine ya kufanya kumuona tu mtoto mana najua sitaruhusiwa kumchukua kwani bado mdogo.
N:B huyu mwanamke sikumtolea mahari tuliishi pamoja tu tukapata mtoto.
Uhalali wa kujua ni mwanao au sio mwanao utathibitishwa scientifically kupitia DNA test,Asante sana mkuu.
Mtoto kaandikishwa kwa jina langu ndio sababu mwanzo process zote zilifanyika kwangu from kupima mimba na kuanza clinic alipokaribia kujifungua ndio akaondoka hata jina la mtoto nilimpa mimi.
DNA kwa tanzania ukipima lazima upigwe tu labda aende kenya bongo miyeyusho sana kwenye inshu za DNAKama hataki Umuone anakuzungusha huyo sio mwanao lakini na wewe Uliishi nae miezi yote ya mwanzo ile KUMUANGALI TU MTOTO hukuona kama umepigwa???? Au ndo hujui kufananisha.. ndugu zako nao pia hawajui??? Anyway cha muhimu huyo mwanamke mtafute mkaee usikute kamgawa mwanao kisa kuna mwanaume anatoa pesa zaidi yakoo yani PELEKA KESI POLISI Kama sio ustawi wa jamiii ili jambo liishe kisheria sio kwa maneno mkuu..! Pole sana ila Simamia hili jambo mapema bora upoteze muda na hela hata kwa kupima DNA ili nafsi yako iwe Huru pole sana.
Achana nae nature itaamua hapo badaeMkuu nashukuru kwa ushauri huu lakini nachotaka nimalize kabisa hili suala. Nifunge kurasa kama nina mtoto nae au sina isije badae nikajutia kwamba mtoto ni wangu na nilimwacha kwa muda mrefu.
Hata kama sio wangu nijue tu sitadai gharama wala sita laumu mtu ila niwe free sina kwamba sina mtoto nae. Kwa sasa wakati mwingine roho inaniuma nikikumbuka nina mtoto na sifanyi lolote juu yake.
Nikithibitisha sio wangu nitakuwa free zaidi kwani hata sasa ninaishi na mwanamke mwingine.
Utauziwa mbuzi kwenye guniaHahaa mkuu kufanana nimefanana nae labda sahv awe kabadilika.