Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

Mkuu usitukimbie tupambane wote tu hapahapa..
 
Ajira zipo tena nyingi sna ikiwa mtu kapewa ajira na ana certificate tu vp wewe wa diploma au wewe dereva ?, hyo rafiki yangu alilamba mktaba wa miaka 5 na akawa ana u renew na hadi ninapoengea yupo huko huko, na ninauwakika ana miliki basi hz kama Costa
 
Mkuu sisi wabongo atupendan kbsa wewe cha msng apo komaa tafuta ella uingie na wewe uko jiandae kwa kila ktu pesa yako ya kujikimu wakat unatafuta ajira ndo muhmu zaid usimtegeme mbongo kbsa mkuu awez kukusaidia yeye anachotaka uendele kuwa bongo apa uteseke na uzd kumsujudia. Mim nina ushaid huo nina rafk yangu ambae nimekuwa nae udogon adi ukubwan nimesoma nae ila alipata zali yupo Canada ila kila nikimcheki anijibu lolote na message anazisoma fresh yaan anataka niwe namlilia shidaaa kla sku ila sio kunipa connection ya mm kuweza kufka Canada yupo canada ana miaka kma 7 ivi ila kesha jenga bonge la nyumba mtaani wazaz wake ndo wanaishi apo na wadogo zake anawasomesha fresh tuu Kwa iyo Mkuu usitegee msaada kutoka kwa mbongo ata sku moja atakusaidia anachokitaka yeye uendele kuteseka na kupauka na jua la bongo ili kusud uzd kumsujudia akutumie doller 50 ndio tulivo wabongo.
 
Yaani mkuu , mi nina binamu yangu yupo turkey miaka nenda rudi katembea arabuni huko Lebanon, Syria nk lakini hajawahi kumuita ndugu hata mmoja, pia kuna ndugu wa bibi wa mke wangu wao nusu waarabu kwa kuzaliwa hasa na baba yao ila mama yao alitokea huku , walienda huko zamani na baadhi ya watoto kwa maana ali olewa huko arabuni na alikuwa na watoto tayari hvo bibi wa mke wangu aka miss kwenda huko kwa kuwa alishapata mume hapa tayari , sasa hao wa huko duuh hatari roho zao , labda wakupe pesa tu
 

Acha kumtisha mwenzio...hakuna jamii isiyo na watu wenye roho mbaya, naweza sema huku na india wengi wao wana roho mbaya na katili...huko arabuni kama wana roho mbaya basi wafanyakazi wote wangerudi au kusikia wakifanyiwa mbaya...mwache akajaribu, hope atafanikiwa kuliko kukaa huku sehemu ya majungu na kufatiliana.
 

Au wanahofia mtaenda kuwapiga mimba watoto wao...maana wabongo hatari sana kamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…