Penzi langu na huyu dada wa JF limeanzia pale nilipomshirikisha katika suala hili. Yeye ndiye alikuwa akinipa moyo na kunishauri so licha ya mawasiliano na upendo wetu still anajua nampenda huyu changu kuliko yeye lakini bado yupo namimi katika kunisapoti. Nadhani nimeelewekaNahisi Kichwa changu Kizito leo sijakuelewa
Hapo sawa. Kula vitu vyako kwa raha zote. Unajua wakati mwingine hawa viumbe wanaweza kuwa wanakupa mambo adimu japo kihadhi hawapaswi kuwa na wewe hadi watu wanasema umelogwa. Piga vitu huwezi kupata mahali pengine hivyoKuhusu CHRISTINA wangu huko sina mashaka. Licha ya Kupatwa na hili janga lakini still natimiza wajibu wangu kama baba.
Kuhusu Condoms hilo sio la kuuliza MKUU
Usijute kaka.nimenasa kaka, nashindwa kujinasua
Valentina kakuuliza swali zuri sana na la msingi, bahati mbaya sana kiongozi ibra87 umejibu tofauti sana na swali la bidada.Moyo huficha mengi nimemshirikisha katika
hili na ni mmoja kati ya wanaonipigania. na hili ndilo chanzo cha mimi na yeye kuwa wapenzi huyu dada wa JF ndio maana sijaficha kitu
Eeehhh dada mdogo khaaa.....shemu soma hapa[emoji1]Ibra si ulisema unamtu humu Jf na uko nae kimahusiano? Tena unajivunia kua nae! Kulikoni sasa?
Hivi kumbe kina Manka watamu eeeh, si wanasemwa humu kila siku kuwa wao ni 'yethu na maria' tu? Hahaha..Amepewa vitu adimu hadi anachanganya habari .....mchaga huyo anaitwa malaika
Wengi wanaongea kufwata mkumbo ibra87 amedhihirisha hilo hahahah inabidi apate uangalizi wa karibu asije akaji RIPHivi kumbe kina Manka watamu eeeh, si wanasemwa humu kila siku kuwa wao ni 'yethu na maria' tu? Hahaha..
Eli79Penzi langu na huyu dada wa JF limeanzia pale nilipomshirikisha katika suala hili. Yeye ndiye alikuwa akinipa moyo na kunishauri so licha ya mawasiliano na upendo wetu still anajua nampenda huyu changu kuliko yeye lakini bado yupo namimi katika kunisapoti. Nadhani nimeeleweka
Kichwa changu leo kinaenda slow kuelewa bana aiseEeehhh dada mdogo khaaa.....shemu soma hapa[emoji1]