lelulelu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 444
- 400
- Thread starter
- #61
Mkuu tatizo ni kwamba sikojoi kila siku ila inaweza kunitokea mara moja kwa miezi sita au maalra moja kwa mweziFanya Hivi tafuta mahindi yaliyotoa ndevu chukua zile ndevu weka kwenye maji yawe ya yaliopoa au ya uvuguvugu baada ya hapo kunywa siku mbili au Tatu then uje unishukuru 0654467798
Kwa hyo
Naweza kutumia dawa nikahisi nimepona nakaa miezi kazaa ishu inakuja tena.sijui imekaaje hapo kaka