MSAADA: Nakojoa kitandani licha ya kuoa

MSAADA: Nakojoa kitandani licha ya kuoa

Fanya Hivi tafuta mahindi yaliyotoa ndevu chukua zile ndevu weka kwenye maji yawe ya yaliopoa au ya uvuguvugu baada ya hapo kunywa siku mbili au Tatu then uje unishukuru 0654467798
Mkuu tatizo ni kwamba sikojoi kila siku ila inaweza kunitokea mara moja kwa miezi sita au maalra moja kwa mwezi
Kwa hyo
Naweza kutumia dawa nikahisi nimepona nakaa miezi kazaa ishu inakuja tena.sijui imekaaje hapo kaka
 
Tafadhali nenda hospital kaeleze tatzo lako kuwa muwaz. Hili tatzo la kukojoa ni fedheha kubwa kuliko. Kipindi nasoma boarding advance kuna jamaa alikua anakojoa ktandani. Asee alifedheheka sana,,,kuanika godoro hawez, akiliacha pale bwenini linatoa harufu kali kama unavojua tena mkojo wa mtu mzma unanuka vibayaaa. Akaenda hospital inaitwa mawenzi kama sikosei,,,, ipo moshi pale,,, kapewa vidonge akanywa kapona fresh mpaka leo hii
Dah mkuu hospitali zngne hakuna hyo tiba ya vdnge au mpaka hapo moshi mkuu
 
Katika wote walioshauri hakuna aliempa pole mkeo.
Kwa niaba ya Ke wote humu , Napenda kuchukua nafasi hii adhimu kumpa Hongera wifi na pole kwa kukuvumilia na kukutunzia siri hakika friji lake linagandisha....maana shilingi ingegeuzwa angekua na mke mwenza zamani sana.
Kwel kaka waif yuko cool sana hajawah kunikejeli kwa jambo hilo simuwchi yule mtoto kwa sababu nikimuacha nitakuwa nimemuacha anondoke na siri zangu,na pia mwanamke mtunza siri ni hazina kwa sababu kama anaweza kutunza siri basi na mali zangu atatunza tu
 
Mimi ni dada.
 
Duh!! Pole ndugu yangu.
Huko kijijini kwetu hua kuna dawa ya kienyeji, personally sijui inachanganywa na nini au ikoje. But hua najua dingi yangu mdogo mmoja ndo alifundishwa na bibi. Ye ndo hua anaiadminister.
Pamoja na hyo kuna ingine ya kuwacha pombe, hiyo sisi wote tumeikataa. Mtu pekee aliepewa kuitumia ni huyo huyo dingi etu mdogo, na mpka leo hata akoskia puya la pombe mnagombana.
Kuna maza mmoja kijana wake alikua anapiga dude mpka akashindwa kupelekwa boarding alipomaliza primary. So dingi mdogo akaenda huko kumpa hiyo dawa. Siku hizi walaaa hamwagi kojo.
Jaribu kuongea na wa kijijini huko huez kosa mitishamba.
Pia hospitali ni sawa but siez kujua watakusaidiaje
badala umuunganishe na huyo baba yako mdogo bado unampa mzunguko wa kutafuta watu wengine.
 
Mkuu tatizo ni kwamba sikojoi kila siku ila inaweza kunitokea mara moja kwa miezi sita au maalra moja kwa mwezi
Kwa hyo
Naweza kutumia dawa nikahisi nimepona nakaa miezi kazaa ishu inakuja tena.sijui imekaaje hapo kaka
Tatizo lingine ulilo nalo unachagua dawa na kubishana na "daktari" wako.

Huyo mdau amekuambia chukua ndevu za mahindi, fuata maelekezo.
Sasa unapoanza tena kutoa maelekezo yako...mara useme hukojoi siku zote blah blah!
Inaelekea hili tatizo sio kubwa, laa sivyo usingekuwa na muda wa kupiga mdomo. Sana sana ungekuwa unaulizia matumizi sahihi ya hizi dawa unazoagiziwa humu.
 
Duh!! Pole ndugu yangu.
Huko kijijini kwetu hua kuna dawa ya kienyeji, personally sijui inachanganywa na nini au ikoje. But hua najua dingi yangu mdogo mmoja ndo alifundishwa na bibi. Ye ndo hua anaiadminister.
Pamoja na hyo kuna ingine ya kuwacha pombe, hiyo sisi wote tumeikataa. Mtu pekee aliepewa kuitumia ni huyo huyo dingi etu mdogo, na mpka leo hata akoskia puya la pombe mnagombana.
Kuna maza mmoja kijana wake alikua anapiga dude mpka akashindwa kupelekwa boarding alipomaliza primary. So dingi mdogo akaenda huko kumpa hiyo dawa. Siku hizi walaaa hamwagi kojo.
Jaribu kuongea na wa kijijini huko huez kosa mitishamba.
Pia hospitali ni sawa but siez kujua watakusaidiaje
Mzee nataka hiyo ya pombe... kukojoa ni nature wala sihangaiki nayo hiyo!
 
Hili tatizo mara nyingi linaweza sababishwa na vifuatavyo

1. Psychological problems

Hapa jitahidi kujipa muda wa kutafakari na kujitathimini zaidi plus jitahidi mazoezi na kujiepusha na misongo ya Mawazo na mambo mengine

2. Urological Problems

Hapa mara nyingi kuna kuwa na changamoto kwenye mfumo wa mkojo, hivyo onana na mtaalamu (Urologist)

3. Alcoholism

Jitahidi kupunguza au kuacha matumizi ya pombe kama wewe ni mtumiaji

4. Caffeine

Hapa epuka kunywa vinywaji vyenye caffeine nyingi hasa nyakati za usiku

Uonapp bado

Rx

Imipramine 25mg NOCTE 1MONTH

Wasalaam

[emoji2398] Balvejmumt
 
Weka alarm iwe inakuamsha daily. Pia kuna dawa kama Amitriptyline husaidia.
 
Back
Top Bottom