Msaada namna na kuondoa watuamiaji kwenye router ya airtel 5G

Ubarikiwe mkuu
 
Unlimited alafu unakuwa mnoko.

Acha ubahili ndugu, ilo bundle la TZS 110,000 bado wanakupiga alafu unashindwa kuwasaidia watu.

Mimi nina router la kuunga watu 200, uswahilini kwangu nimrwagaia bure password wanafurahia data za bure muda wote.
Hapo hiyo unlimited unanunua speed, jinsi idadi ya users inavyoongezeka na speed/sec inapungua pia. Huenda jamaa anahofia speed kuwa ndogo na si ubahili. MAONI YANGU HAYO
 
Akiongeza new users tena unarudia procedures hizo?
 
Akiongeza new users tena
Iwapo huyo user alikuwa miongoni wa wale kwenye list, kule kwenye firewall, ni swala la kuondo Check Mark, Na ku_save changes, then new user ataendelea kupata flow ya data.
 
Hapo hiyo unlimited unanunua speed, jinsi idadi ya users inavyoongezeka na speed/sec inapungua pia.
uchoyo... unakutafutana sana
Hapana sio uchoyo, Shared speed hupungua, Mfano kwangu speed ni 10mbps, ambapo nikiachia kwa wote, zaidi ya device 30+ ina maana nitashindwa kupata intenet yenye kukidhi mahitaji yangu.
- Hivyo nimeachia kwa watu/device waiozidi 10.
 
Naomba nikufumbuwe kitu hapo kuna moja kati ya watu 10 ulimpa password au ulimwekea ! Kwaiyo huyo mtu alikwenye kwenye setting za wif yake kisha akaingia kwenye connection yako kisha akingia details ya wifi aka show password zako ndoo akawa wapa hawo watu tisa walikuwa unawaona hapo.

Sasa chakufanya hapo chukuwa router yako kisha angalia chini huko kwenye kuna sehem imendikwa ip adress inanzia 192.

Chukuwa hiyo nenda kwenye laptop yako ingia kwenye web browser.kwenye sehem ya kuandikia www weka iyo namba ya ip ingiza izo namba kisha bofya enter subiria itakuja page inakuwambia ingiza user name na password sehem zote mbili utajaza admin kisha utabofya enter kisha utangia utafuta sehem ya setting kisha wifi utaona kila kitu hapa
 
Unlimited alafu unakuwa mnoko.

Acha ubahili ndugu, ilo bundle la TZS 110,000 bado wanakupiga alafu unashindwa kuwasaidia watu.

Mimi nina router la kuunga watu 200, uswahilini kwangu nimrwagaia bure password wanafurahia data za bure muda wote.
ndugu naomba tuwasiliane
 
Njia rahisi
1. Badilisha password
2. Chukua simu ya rafiki yako
3. Connect na WIFI bila yeye kuangalia ili asiweze kujua password
Smart phone zina options za mtu ku scan na atakuwa connected automatically, na mbaya zaidi ukiruhusu hiyo ,ata ukibadili password inaunga automatically.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…