Msaada namna na kuondoa watuamiaji kwenye router ya airtel 5G

Swali langu ukichelewa kulipi mwezi mmoja ukija kuweka salio watakata na mwezi ambao hukutumia au wataendeleza mwezi huo uliolipia?
 
Sijajua router yako ni ya namna gani, lakini nahisi ni kama hizi nyingineza Voda na Tigo. Hukupewa access ya ku manage hio router online kwa kutumia PC? Namaanisha ile online dasboard ambayo unaweza kuona uplink na downlink (data usage), hapo kuna mahali pa kuthibiti watumiaji na kubadili password muda wowote, kuongeza ama kuondoa watumiaji usiowataka.
 
Swali langu ukichelewa kulipi mwezi mmoja ukija kuweka salio watakata na mwezi ambao hukutumia au wataendeleza mwezi huo uliolipia?
 
Swali langu ukichelewa kulipi mwezi mmoja ukija kuweka salio watakata na mwezi ambao hukutumia au wataendeleza mwezi huo uliolipia?
Hawa sio post paid. Yaani kma ulijiunga tar 01/05 inamaanisha ikifika tar 01/06 inazima
 
Mselect user the clixk block, itablock particular mack address hataweza kujiunga tena ila ukibadili pwd watascan tena
 
Swali langu ukichelewa kulipi mwezi mmoja ukija kuweka salio watakata na mwezi ambao hukutumia au wataendeleza mwezi huo uliolipia?
Usipolipa wanakata mtandao, kama ilivyo king'amuzi
 
Baada ya kuona siwezi kulipia bando la 110,000/- nikaamua ku-unclock smartbox yako kwa sasa natumia halotel
 
Ilo bando si unlimited mkuu!,,, inawezekana ni workmates zake na huyo jamaa zako kwaiyo Acha ubahili mzee
 
Ilo bando si unlimited mkuu!,,, inawezekana ni workmates zake na huyo jamaa zako kwaiyo Acha ubahili mzee
Watumie bure wakati wa kulipa niwe mwenyewe sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…