Msaada: Naomba kupewa gharama za hatua hizi za ujenzi

Duh mbona mbao nyingi sana au hiyo 1200 ni ft sio idadi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya finishing ya ndani na madirisha na milango kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alitumia kiasi gani jumla, yeye alitumia 2*2 tu ama alichanganya na 3*2

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbao ya 2*2 ya 20ft ni kama sh 7000 hivi, hiyo ya 2*3 mara nyingi huwa wanachukua 2*6 halafu wanachana kupata 2*3 mbili ambapo bei inategemea na gharama za ushanaji. Kwa makisio mbao zote hazikuzidi 200

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UJEZI UNA FACTORS NYINGI KATIKA KUANGALIA GHARAMA ZA KUFANYIA FINISHING. NA BAADHI YA VIGEZO NI MATERIALS UNATAKA YA BEI RAHISI, YA KATI AU GHALI? UNATAKA ORIGINAL AU COPY? NINACHOKUSHAURI FANYA KIMOJA BAADA YA CHENGINE ILA MWISHO WA SIKU UTAMALIZA KWANI POLEPOLE NDO MWENDO. NA UNAWEZA UKAPIGIWA HESABU HAPA UKAJIPANGA KWA HIYO PESA UKIENDA DUKANI PESA ISITOSHE HATA KUUNULIA MATERIALS NA BADO HUJASAFIRISHA KUPELEKA SITE WALA HUJALIPA FUNDI

KWA USHAURI WA HARAKA WAITE MAFUNDI MUHIMU KATIKA FINISHING KISHA WAKUPE MAKISIOA YA VIFAA ILI UKIENDA KUNUNUA KARIAKOO UNUNUE KWA WINGI ILI UPATE KWA BEI NAFUU KIDOGO .USIDANGANYWE UKANUNUA KWENYE MADUKA YAMITAANI UTAONA PESA ZINAKWISHA NA JENGO HALIISHI .
 
Mbao ya 2*2 ya 20ft ni kama sh 7000 hivi, hiyo ya 2*3 mara nyingi huwa wanachukua 2*6 halafu wanachana kupata 2*3 mbili ambapo bei inategemea na gharama za ushanaji. Kwa makisio mbao zote hazikuzidi 200

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo bonge la idea mkuu ulikua wapi hukuoita hapa, hiyo idea ya kuchukua 2*6 then unachana dah ningeokoa hela nyingi sana mkuu, dah kuna watu mna mawazo mazuri sana nimelipenda wazo lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thanks bro, umetoa ushauri mzuri sana uzuri ubarikiwe, sema nilishafanya machache na yamebaki machache sana madirisha ya aluminium, rangi, tiles za ukutani chooni na jikoni, bado vyoo na sinks ni kazi chache zimebaki madirisha ndiyo nilikua nanunua kidogo kidogo kila mwezi naweka oda ofcourse nipo makini na site ipo Arusha huku vitu ni gharama sana, site ingekua dar ningeshamaliza ujenzi siku nyingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujenzi wa dar vs mkoani, mtu anaejenga mkoni nyumba moja inamgharimu karibia nyumba mbili atakazo jenga dar, ardhi nayo ipo juu kulinganisha na dar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo bonge la idea mkuu ulikua wapi hukuoita hapa, hiyo idea ya kuchukua 2*6 then unachana dah ningeokoa hela nyingi sana mkuu, dah kuna watu mna mawazo mazuri sana nimelipenda wazo lako

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimechelewa kuuona uzi, pia ungeweza kuichana 2*6 ukapata 2*2 tatu. Mfano kama ulikua unahitaji 2*2 30, basi kwa 2*6 kumi tu zingetosha hitaji lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…