Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh mbona mbao nyingi sana au hiyo 1200 ni ft sio idadi?Mkuu hapo ndipo ukweli ulipo, nimejaribu kuchukua quotations za mafundi watatu naona wapo juu sana kwa gharama na materials pia kwa mfano blunderling mbao sio chini 3*2= 1200, 2*2=1400 kwa kuwa sitting room na dinning room siweki ua naweka ngazi mbili tu simple tu, hapo kuna ukweli.
Nilikuja kupunguza yalikua makadario ya juu sana mafundi ni wapigaji sana, hizo 3*2 nilipunguza sana
Duh aisee wangekulangua maradufu, room ya 3.1 kwa 3.1 inachukua mbao 6-8 za 20ft tu , sasa hiyo 1200 ni hatari tupuNilikuja kupunguza yalikua makadario ya juu sana mafundi ni wapigaji sana, hizo 3*2 nilipunguza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku hizi kuna grill za square bars vipi bei yake kwa dirisha la 150x150?Hilo ni dirisha tu. Grill nayo inategemea unaweza kupata kwa 120,000-200,000 inategemea na flat bars za 4mm au 6mm na urembo uliowekwa. Kifupi grill na dirisha inaweza kuwa 400,000/-
Fanya finishing ya ndani na madirisha na milango kwanzaHabari za kwenu wanajamvi,
Nakuja hapa nikiomba ushauri/msaada wa dhati kabisa juu ya ujenzi nina 15million ya kumalizia vitu vichache je itatosha? Na kwa sasa najua wengi wenu humu mna uzoefu na mafundi mpo humu, kwa mtu anaejua naomba kujuzwa nyumba yangu ina ukubwa wa 14.6*12.3 Squaremita na vyumba vinne, sasa nipo kwenye hatua ya finishing, naomba msaada wa kujua nyumba ya namna hii yenye vyumba vinne je gharama zikoje katika hatua hizi hapo chini;
Blundering
Kupiga plasta
Kufanya plumbing
Kuweka tiles
Wiringi
Kupiga rangi
Madirisha ya aluminium
Naomba usaidizi gharama za mafundi na materials zikoje?
Vyumba ni vinne mkuu na sitting room ni kubwa mno ni kama vyumba viwili kwa ukubwa wasitting room so mbao kwa ujumla zilini gharimu 1.4m na nilochanganya 3*2 na 2*2Duh aisee wangekulangua maradufu, room ya 3.1 kwa 3.1 inachukua mbao 6-8 za 20ft tu , sasa hiyo 1200 ni hatari tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimebaki kazi chache madirisha ya aluminium na niliamua kununua mawili kila mwezi, mpaka sasa yamebaki machache
Sio mbaya , kwa bei hiyo maana yake mbao hazikuzidi 200Vyumba ni vinne mkuu na sitting room ni kubwa mno ni kama vyumba viwili kwa ukubwa wasitting room so mbao kwa ujumla zilini gharimu 1.4m na nilochanganya 3*2 na 2*2
Sent using Jamii Forums mobile app
6mm kwa vipimo hivyo 150 *150 mimi alinifanyia kwa 135kSiku hizi kuna grill za square bars vipi bei yake kwa dirisha la 150x150?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alitumia kiasi gani jumla, yeye alitumia 2*2 tu ama alichanganya na 3*2
Mbao ya 2*2 ya 20ft ni kama sh 7000 hivi, hiyo ya 2*3 mara nyingi huwa wanachukua 2*6 halafu wanachana kupata 2*3 mbili ambapo bei inategemea na gharama za ushanaji. Kwa makisio mbao zote hazikuzidi 200Alitumia kiasi gani jumla, yeye alitumia 2*2 tu ama alichanganya na 3*2
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo bonge la idea mkuu ulikua wapi hukuoita hapa, hiyo idea ya kuchukua 2*6 then unachana dah ningeokoa hela nyingi sana mkuu, dah kuna watu mna mawazo mazuri sana nimelipenda wazo lakoMbao ya 2*2 ya 20ft ni kama sh 7000 hivi, hiyo ya 2*3 mara nyingi huwa wanachukua 2*6 halafu wanachana kupata 2*3 mbili ambapo bei inategemea na gharama za ushanaji. Kwa makisio mbao zote hazikuzidi 200
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks bro, umetoa ushauri mzuri sana uzuri ubarikiwe, sema nilishafanya machache na yamebaki machache sana madirisha ya aluminium, rangi, tiles za ukutani chooni na jikoni, bado vyoo na sinks ni kazi chache zimebaki madirisha ndiyo nilikua nanunua kidogo kidogo kila mwezi naweka oda ofcourse nipo makini na site ipo Arusha huku vitu ni gharama sana, site ingekua dar ningeshamaliza ujenzi siku nyingi.UJEZI UNA FACTORS NYINGI KATIKA KUANGALIA GHARAMA ZA KUFANYIA FINISHING. NA BAADHI YA VIGEZO NI MATERIALS UNATAKA YA BEI RAHISI, YA KATI AU GHALI? UNATAKA ORIGINAL AU COPY? NINACHOKUSHAURI FANYA KIMOJA BAADA YA CHENGINE ILA MWISHO WA SIKU UTAMALIZA KWANI POLEPOLE NDO MWENDO. NA UNAWEZA UKAPIGIWA HESABU HAPA UKAJIPANGA KWA HIYO PESA UKIENDA DUKANI PESA ISITOSHE HATA KUUNULIA MATERIALS NA BADO HUJASAFIRISHA KUPELEKA SITE WALA HUJALIPA FUNDI
KWA USHAURI WA HARAKA WAITE MAFUNDI MUHIMU KATIKA FINISHING KISHA WAKUPE MAKISIOA YA VIFAA ILI UKIENDA KUNUNUA KARIAKOO UNUNUE KWA WINGI ILI UPATE KWA BEI NAFUU KIDOGO .USIDANGANYWE UKANUNUA KWENYE MADUKA YAMITAANI UTAONA PESA ZINAKWISHA NA JENGO HALIISHI .
Nimechelewa kuuona uzi, pia ungeweza kuichana 2*6 ukapata 2*2 tatu. Mfano kama ulikua unahitaji 2*2 30, basi kwa 2*6 kumi tu zingetosha hitaji lakoHiyo bonge la idea mkuu ulikua wapi hukuoita hapa, hiyo idea ya kuchukua 2*6 then unachana dah ningeokoa hela nyingi sana mkuu, dah kuna watu mna mawazo mazuri sana nimelipenda wazo lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada mimi siwezagi kuhamia hivyo huwa napenda nimalize kabisaaaaa!Weka floor, Fanya plumbing, milango na madirisha ikiwezekana hamia. Mengine utamaliza taratibu.