Msaada; Nataka kubadili uraia niwe Mkenya

Sasa hapo mpaka sasa huna kitu chochote,kwanza tafuta jinsi ya kuishi kiharali ndio uanze kutafuta uraia huezi ukaomba uraia wakati wewe ni mhamiaji haramu
 
Jibu ungelipata kenya
Piga simu hata kwenye NTV au KBC TV watakuelekeza vizuri tu Kama kule kwao wanahigaji watanzania😀
 
Sasa hapo mpaka sasa huna kitu chochote,kwanza tafuta jinsi ya kuishi kiharali ndio uanze kutafuta uraia huezi ukaomba uraia wakati wewe ni mhamiaji haramu
Sasa kuishi kiharali ni vip broo mm huwa natumiaa I'd ya Tanzania sasa niko haram vip yaaan
 
MK254
 
Kua na ID Ina maana huna kibali cha kuishi kenya na kufanya kazi yoyote au business hapo sasa tafuta kwanza busines permit
 
Kua na ID Ina maana huna kibali cha kuishi kenya na kufanya kazi yoyote au business hapo sasa tafuta kwanza busines permit
Hoja yakoo sasa ni nn kaka mm nafanya tuu biashara ndogo ndogo ya nguo niko na hiyoo piki piki sasa hiyoo business permit mtaji wangu haufik hata elfu 200
 
Kwa hio wewe unaona unavyofanya umefuata sheria?huruhusiwi hata mtu wa kenya kukuacha kwenye duka lake na kuuza
 
Omba uraia tu kijana, Kenyan ni ndugu zetu na jirani hata kwenye vita ya kagera walitusapoti so wee chukua uraia tulia fanya maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…