Msaada: Nataka kubadilisha cheti changu kuzaliwa pamoja na baadhi ya herufi za majina yangu na mama yangu

Msaada: Nataka kubadilisha cheti changu kuzaliwa pamoja na baadhi ya herufi za majina yangu na mama yangu

Nenda wilayani na kibunda chako lisaa moja tu unaondoka na chet chako kama unataka kusumbua kichwa fata washaur wa online
 
au lazima niende katika ofisi ambayo ipo katika wilaya niliyozaliwa?
Anza hapa hawa ndio watakufatilia mtaani kwenu na kuthibitisha ni wewe. Nao watakupa hatua ya uthibitisho na kwenda kufanya kiapo baada ya hapo utakwenda Rita ama mpe mtu wa wilaya yako atamaliza kila kitu. Muhimu kumpatia hela yake ya kumtuma.
 
Nenda wilayani na kibunda chako lisaa moja tu unaondoka na chet chako kama unataka kusumbua kichwa fata washaur wa online
Mimi nimepewa cheti cha Urais wa Tanzania nilishangaa kwanza baadae nikasema Tanzania hakuna utakacho ukakosa kama hela unayo🤣🤣

Kuna mwamba alipewa cheti chake cha kifo akiwa bado yupo hai kisa kipelekwe USA ili kulipwa na bima ya Maisha(Life insurance).🤣🤣
 
Hayo yote ya nini kama anaweza fanya yote kwa saa 1 tu
Hiyo saa moja ya kukutana na mtu ya ninj wakati unaweza kuomba umelala chumbani bila ya kuombwa rushwa vitu vingine tunajitakia wenyewe
 
Back
Top Bottom