Yaani kila mwezi atoe 250k iyo ajira? Ushawahi udhuria ata kikao kimoja cha Ustawi mkuu.? Hesabu haziendi simple hivo. Mtu unakuta ana mshahara wa 2.8M usikute ni Gross. Bado kuna makato unakuta take home 2.1M tu.kati ya 2.8 mil upewe 50k una akili kweli kama unaenda kudai pesa hyo bora uache tu..
Pia angalai na uwiano wa watoto wengine kama ni mmoja tu anaye basi angalau upate 250k kwenda mbele.
Kuna wanaume wengine humu ni mafeminists kabisa, kumbe wanataka walaghai Single mothers wa JF kwa kujioensha wanapendaTuwe tunahurumiana hakuna upande ambao unastahili kunyonywa.
Feminists wamesema mwanamke anaweza bila mwanaume ila hapa inaonesha ni tofauti
Huyu keshakuja mara kibao kulalamika humu, fatilia nyuzi zakeAcheni kujitia umwamba, mnakuwa hamuwajengi watoto kwenye maadili mazuri.
Kwamba wanawake wote mna akili sawa?Lakin yapikwe kila mara mtoto ale
Kwanza yakipikwa yakawekwa kwa freezer wanatoa wanampikia
Mim kama kitu kipo simnyimi mtoto
Sahihi kabisa, kuna case moja nilisimuliwa ofisi ya ustawi wa jamii, jamaa wanne wamepangwa wanatoa matunzo kwa mtoto kila mmoja anaamini yeye ndo baba wa mtoto, kwa nini uingie kichwa kichwa kwa hawa wanawake wajanja wajanja wa mjini. Unaweza kujikuta unaangua kilio.Kweli kabisa !
Halafu wengine unakuta mimba/mtoto wanapewa wanaume 3 [emoji108]
Kote anatarajia kupata ruzuku ya matunzo ya mimba/mtoto ,
Ndiyo maana hawataki kwenda kupima DNA.
Wengi tu wanawauzia wanaume watoto ambao si wao ili wapate hela za malezi.
Mimi ikija akaniletea bila makubaliano yoyote nitaenda mahakamani, tutajua huko huko.1.Sheria kuhusu hilo itungwe.
2.Sheria kuhusu abortion ipitishwe
Na ndiposa tutaweza kushtakiana vizuri, kwa hapa hatuna sheria hiyo nadhani. Kwahiyo si kosa kisheria mtu yeyote kumbebea mimba yeyote kwa kupenda/hila/ulaghai etc
Hapo labda naweza ungana na Accumen Mo sahivi. Sema 100k hivi.Huyu keshakuja mara kibao kulalamika humu, fatilia nyuzi zake
Mi simtetei mtu ambaye mzazi kagoma kutoa matumizi.Lakini umeona athari za dhambi hiyo inavyotutesa?
Sio vizuri kuendelea kufanya dhambi hizo tena
Na hayo ndio malezi bora mkuu.Mi kinachopikwa ndicho wote watakula.
Mtoto wangu hatembei miji ya watu na haruhusiwi kula kwa watu
Ikipikwa ugali atakula, yapikwe makande atakula
Maharagwe anayala kabla hayajatoka jikoni
Nyie wanawake nyie! Kwa hiyo ulimpanulia hadi akataja Siri za Mshahara wake ndo ukampa bila kuzingatia siku za hatari?
Kuna watoto huwa wanakataa kula ugali na mzazi anajichekesha huyu huwa hali ugali.Na hayo ndio malezi bora mkuu.
Kwa hiyo unahisi ukienda ustawi wa jamii utamegewa hata Robo tu ya huo mshahara?Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Wewe utakuwa ni mke wa mtu tena unayejielewa.👍Pambana lea mwanao, achana nae.
Ushawahi ona jogoo analea vifaranga? Wanaume hawaleagi, its nature....atahudumia mtoto Kama na wewe unamuhudumia, Kama uko tayari kufata matumizi ya mtoto guest endelea kumsumbua, Kama unajali utu wako pambana mwenyewe.....mlezi mkuu ni Mungu, mtoto atakua tu bila yeye.
Angalizo, akileta matumizi usikatae na usimlishe mtoto sumu kumuhusu.
Kwahiyo mnataka tuwalilie na kuwabembeleza kutoa matumizi?? Mimi binafsi ukishiriki kulea mwanao nitamweka karibu na wewe na nitakuwa namweleza kabisa baba yako anakulea.Acheni kujitia umwamba, mnakuwa hamuwajengi watoto kwenye maadili mazuri.
Hao watoto pambana nao menyewe, ipo siku atawakumbuka na kuwapigia magoti, mifano halisi ipo mingiNaombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?