Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

Huyu mwamba hapa aliwahi andika kitu nlimwona fala ila baadaye nikaona kina make sense

 
Ni kweli lakin si unajua kuwa kuna vyakula mtoto wako anavipenda kwanin kila mara asipikiwe akala na ambavyo havipendi ale mara moja moja si mbaya
Mi mwanangu anapenda maharagwe ila hayapati kila siku
 
Huyu Dejane asimsingizie mtoto, hizo tabia zote za mtoto ni zake. Mfundishe mtoto nini ale, asichague chakula uone kama atakusumbua. Kwangu hakuna chakula cha baba wala mtoto(kuna nyumba baba anapikiwa separate, kwangu ni upuuzi mtupu), wote tunakula lilichopikwa na watoto wanafurahia sana tu.
Mi kinachopikwa ndicho wote watakula.

Mtoto wangu hatembei miji ya watu na haruhusiwi kula kwa watu

Ikipikwa ugali atakula, yapikwe makande atakula
Maharagwe anayala kabla hayajatoka jikoni
 
Na wazee wanavyojua kuugua sasa kupelekwa hospital sijui nin Halaf unazeeka peke yako wee
Sio watoto wote ni wajinga wapo wataokuwa upande wa Mzee na ndio maana sikutaka zaa na mtu 1 maana watoto wote wangekuwa na akili moja
 
Hatulei kama wamama mmeamua kuwapa sumu.

Narudia hatulei na hakuna litalotokea
Na sisi wala hatuna muda wa kulazimishana kulea, yaani hatuna shobo kabisa, watoto tunalea, wanakula fresh, shule wanaenda na wala hatupungukiwi kitu. Ndio kwanza tunabarikiwa.
Kwanza kusubiri child support mwisho wa mwezi inakulemaza bora kutafuta mwenyewe.
Mwanao mtakutana ukubwani huko yake yale unamtafuta ukijibiwa " su*k my dic** you as* nigga" msianze kulia lia kama ambulance kutia huruma
 
Sio watoto wote ni wajinga wapo wataokuwa upande wa Mzee na ndio maana sikutaka zaa na mtu 1 maana watoto wote wangekuwa na akili moja
😂😂😂😂 uwalee vizuri sasa
 
Na sisi wala hatuna muda wa kulazimishana kulea, yaani hatuna shobo kabisa, watoto tunalea, wanakula fresh, shule wanaenda na wala hatupungukiwi kitu. Ndio kwanza tunabarikiwa.
Kwanza kusubiri child support mwisho wa mwezi inakulemaza bora kutafuta mwenyewe.
Mwanao mtakutana ukubwani huko yake yale unamtafuta ukijibiwa " su*k my dic** you as* nigga" msianze kulia lia kama ambulance kutia huruma
😂😂😂😂😂😂😂 woyooooo na tunavyojua kuwalea sasa watakomaaaa mbona
 
Roho mbaya tu hawana upendo
Kitendo wanafanya wawili mtoto akizaliwa kila mmoja anamtafutia mwezie sababu uhu ni upumbavu kama mtu hawezi jishusha na kuombana samahani ni upumbavu wa hali ya juu
 
Hao viumbe ni pasua kichwa sana, kuna mmoja alimbana mshikaji kwamba amezaa mtoto wake na jamaa anaye mke tayari, basi jamaa akamwambia ili mambo yaende sawa waende ustawi wa jamaa ili wakaandikiwe vipimo vya DNA ili ifahamike kisheria kwamba huyo mtoto ni wake, mwanamke hataki anang'ang'ana tu apewe pesa za matumizi. Yaani ilikuwa mtifuano mkubwa hadi leo huyo mwanamke hajafuata utaratibu na jamaa kapotezea.

Halafu mwanamke kama huyo akianza kulalamika utafikiri kaonewa, kumbe yeye mwenyewe ndo kajifanya kichwa maji.​
Wanaume sio wajinga
Unakuta anafanana na mtoto kabisa ila kutokana na maneno ya mama kwa mtoto mzazi anaona hapa bora nijikate tu, nisije poteza pesa zangu kusomesha au mtunza mtu ambaye najua ananichukia
 
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?

Wanawake wa kipindi hiki(digital) hampendi kujishughulisha ili kulea watoto wenu mbadala wake mnahangaika na wanaume ambao wamewakimbia kwa sababu wameshakuona hueleweki au pengine msumbufu na yeye ana familia nyingine kwako ilitokea dharula tu.

Mimi na ndugu zangu tulilelewa na mama yetu ingali baba yetu mzazi yupo na hata hajali kama ana watoto yupo busy na wanawake wengine[emoji24][emoji24][emoji24]

Sikuwahi kumuomba pesa ya mkate wala hata ya daftari ingali namjua ndio baba yangu[emoji848] hadi kufikia leo hii ni miujiza ya Mungu na upeo mzuri aliobarikiwa mama yangu( MY ONLY ONE).

Nakushauri kama umekamilika kimwili(hauna upungufu wowote) tafutachakufanya kazi ya mumeo isikufanye uone majukumu ni yake🥸[emoji41] watoto ni wenu wote wawili hivyo inakupasa hata wewe kulea hao watoto( fanya kama mumeo amefariki) pambana ili uilee familia yako na sio kumtegemea mumeo peke ake ndo aleee hilo ni jukumu lenu wote mmoja asipoweza mwengine ataweza “make my word”.
 
Kwahiyo ndio uache kulea mtoto kisa mama kakukwaza? Mtoto anakosa gani makosa yenu wazazi una mkomoa mtoto uho ni upunguani wa hali ya juu
Ukizingua, ukawalisha watoto hadithi kuwa mi ndo mbaya, ukikataa mtoto asinitembelee sahau kuhusu matumizi hadi siku mkitambua uwepow angu
 
Halaf wapo hivi mwanamke kama humpi uchi baba mtoto hatoi matumizi Yaan akili za hawa watu sijui zipoje na unakuta kaoa yeye ila mda anaotaka apewe madikteta kweli
Kama umetengana na Mtu basi mkataba utakaobaki ni wa kulea Mtoto/Watoto nasio wa kuendelea kufanya mapenzi.

Ukishindwa mchukue Mwanao ili umlee mwenyewe
 
Ifike mahali wanaume tuwapeleke wanawake mahakamani kama wanabeba mimba bila ridhaa yetu.

Kama mmekubaliana kuwa hakuna kuzaa, ni mwendo wa kufurahishana inakuwaje unakubali kubeba mimba yangu?
1.Sheria kuhusu hilo itungwe.
2.Sheria kuhusu abortion ipitishwe

Na ndiposa tutaweza kushtakiana vizuri, kwa hapa hatuna sheria hiyo nadhani. Kwahiyo si kosa kisheria mtu yeyote kumbebea mimba yeyote kwa kupenda/hila/ulaghai etc
 
Sasa maharage kweli ya kumnyima watoto?acha tu tule wenyewe kwakweli
Maharagwe hayapikwi kila siku aisee kwani gerezani?
Hata boarding nilizosoma hatukuwahi kula maharage 365
 
Back
Top Bottom