Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

Mpaka Sasa wengi mna amini kwenye ndoa mama mtakatifu, baba ni shetani. Kina baba hawana utamaduni wa kusema ya wake zao. Tena pengine ,hali ya mshua imesababishwa na mama.Chunguzs
 
😅😅😅😅
 
You are one in a milion.

Hicho kitu cha kutomlisha sumu mtoto kuhusu baba yake ni kitu 99% ya wanawake wanakikosa.

Tumelelewa na mama sehemu kubwa ya masha yetu. Beside makandokando ya baba, mama yetu hajawahi kutulisha sumu kuhusu baba yetu au ndugu wa baba.

Natamani hata nikufungulie thread.
 
Kwamba wanawake wote mna akili sawa?
Hujui kuna wanawake hawajali kitu?
Mtoto anapenda maharage yapikwe mengi yafungwe kwa pakti size ndogo yawe iwe kwa freezer,mtoto ale acheni udikteta bana
Kuna wanawake huwa hawajali watoto wao hawapikii vizuru ilimradi hovyo hovyo tu
 
Kwa hiyo hata hulka ya kumbembeleza mwanaume hamtaki kabisa, mnataka kutanguliza mbele umwamba.

Mwanamke mnyenyekevu na mtiifu ndo anayemvutia zaidi mwanaume na mwanaume yupo tayari kujitoa kwa ajili yake.
 
Mtoto anapenda maharage yapikwe mengi yafungwe kwa pakti size ndogo yawe iwe kwa freezer,mtoto ale acheni udikteta bana
Kuna wanawake huwa hawajali watoto wao hawapikii vizuru ilimradi hovyo hovyo tu
Sasa wanawake wrngi wako hivyo kama nyie msojua pika chapati
 
Sasa wanawake wrngi wako hivyo kama nyie msojua pika chapati
Hahaha nimeshajua mim 😂😂😂
Kutokujua kupika chapati haimaanishi hujui kupika vingine
Kuna za kumimina tamu tu
 
Kwa hiyo hata hulka ya kumbembeleza mwanaume hamtaki kabisa, mnataka kutanguliza mbele umwamba.

Mwanamke mnyenyekevu na mtiifu ndo anayemvutia zaidi mwanaume na mwanaume yupo tayari kujitoa kwa ajili yake.
Mnyenyekewe kwenye wajibu wenu?
 
Hahaha nimeshajua mim [emoji23][emoji23][emoji23]
Kutokujua kupika chapati haimaanishi hujui kupika vingine
Kuna za kumimina tamu tu
Zile hazifai, twapenda laini kama za wapemba mtaa wa rufiji
 
Kwa hiyo hata hulka ya kumbembeleza mwanaume hamtaki kabisa, mnataka kutanguliza mbele umwamba.

Mwanamke mnyenyekevu na mtiifu ndo anayemvutia zaidi mwanaume na mwanaume yupo tayari kujitoa kwa ajili yake.
Kweli mkuu nikubembeleze kule mtoto wako tena damu yako?? Ni haki hiyo kweli? Nitakubembeleza km ni mpenzi wangu ila sio tumeachana nikubembeleze kulea mwanao
 
Kweli mkuu nikubembeleze kule mtoto wako tena damu yako?? Ni haki hiyo kweli? Nitakubembeleza km ni mpenzi wangu ila sio tumeachana nikubembeleze kulea mwanao
Eti 😂😂 wanapenda kunyenyekewa upumbavuuu
 
Huyu keshakuja mara kibao kulalamika humu, fatilia nyuzi zake
Sijawahi kulalamika kwamba baba mtoto wangu hamtunzi mwanae, tena nilikuwa nasema wazi matumizi ya mwanae anatoa bila shida. He was a man and ahalf enzi hizo alikuwa na tarehe yake akipokea mshahara utaona muamala the same day bila kukumbushwa. Na nilikuwa nampa credit zake kwa hilo usipotoshe mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…