Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hivi mnalichukulia neno laana kiurahisi kama kuchambua mchele?Huwa hampendi kukubali changamoto zenu na kutaka kubadilika.Hata muwe na makosa mnataka muonekane safi na muonewe huruma.Hiyo dunia ya kuonewa huruma na kujiliza tu bila ku-take responsibilities aliondoka nayo Yesu!Badilikeni.Laana ya kutelekeza mtoto.
Hakuna anaekukejeli unaambiwa ukwel hata ukiolewa tena usitoe mapembe juuu na kutomsikiliza mme wako hadi ndoa inakufa..mnanikejeli sana mimi kuomba msaada basi naombeni mnisamehe nina roho ndogo sana naumia kwa kunidhihaki nisameheni pengine sikupaswa kuomba ushauri samahanini ilanjueni sijazaa bila ndoa nmezaa kwa ndoa kabisa
siwezi mchukulia mwanaume kama Mungu na huku nmeomba jinsi ya kufanya asa kejeli matusi ya nini?? nikaomba basi na ajira mnisaidie nilee hawa watoto ni sabbau hujui behind ya haya mambo....kamwe siwez mfananaisha Mungu wangu na kitu chochote afu sahivi ndoa sio priority yangu kaka so usinikejeli kwa kuona nataka mume sijui kulalamika hapanaHakuna anaekukejeli unaambiwa ukwel hata ukiolewa tena usitoe mapembe juuu na kutomsikiliza mme wako hadi ndoa inakufa..
Ukipata mume tena ukae Kwa kutulia acha mapepe ,msikilize mmeo na sio kusikiliza mashangazi na wanaharakat wa haki sawa watakuponza tena..mtii mume wako mtarajiwa mchukulie kama Mungu wako ha ha haa..😂😂😂
Atavoambiwa awe anakupa ten Kwa mwezi ndo hautaaminiNaombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Una comment nzuri dada ubarikiwe jomoni ☺️☺️☺️🙂🙂siwezi mchukulia mwanaume kaka Mungu na huku nmeomba jinsi ya kufanya asa kejeli matusi ya nini?? nikaomba basi na ajira mnisaidie nilee hawa watoto ni sabbau hujui behind ya haya mambo....kamwe siwez mfananaisha Mungu wangu na kitu chochote afu sahivi ndoa sio priority yangu kaka so usinikejeli kwa kuona nataka mume sijui kulalamika hapana
Ni mumewe au kazaa nae tu. Kwaio kila mdada ajilengeshe kwa mume wa mtu apate mtoto ili alipwe 250k?kati ya 2.8 mil upewe 50k una akili kweli kama unaenda kudai pesa hyo bora uache tu..
Pia angalai na uwiano wa watoto wengine kama ni mmoja tu anaye basi angalau upate 250k kwenda mbele.
Masikini umeandika kwa huruma hadi nimejisikia vibaya. Pole sana kama una roho ndogo Jf sio sehemu ya kuomba ushauri mpenzi.mnanikejeli sana mimi kuomba msaada basi naombeni mnisamehe nina roho ndogo sana naumia kwa kunidhihaki nisameheni pengine sikupaswa kuomba ushauri samahanini ilanjueni sijazaa bila ndoa nmezaa kwa ndoa kabisa
uyo kanitukana sana na anaona jinsi nilivyo humble anazidi ntukana tu ila sisi binaadamUna comment nzuri dada ubarikiwe jomoni ☺️☺️☺️🙂🙂
Umedekeza sana huyo toto tundu😂 mfunze kula kilichopo hata kama una uwezo wa kumpa anachotakaWeee mim nnae hapa muda wote mdomo unatafuna unataka kula
Yaan huwa na kaz ya kujipilikisha maandaz au kalimati tofauti na msosi ili apate na vya kula kula wakija wengine hataree
Halaf unapangiwa vya kupika na aina ya juice unapangiwa na kukosolewa juu
Akiii inabidi ukiwa na hamu na juice fulan utengeneze yako na yake utengeneze anavyopenda huwa nachoka mie
Pole sana kwa usumbufu. Wewe unafikiri kiasi gani kinatosha kuwahudumia watoto?Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
mi sihitaji pesa yake naomba alete mahitaji ya watoto kila mwezi tu maan kuhusu pesa naonekana huku sijui nataka pesa no nataka mahitahi niweze msaidia mama majukumu apa maaan nimeletea familia na mamaangu hajaajiriwa anabangaiza tuPole sana kwa usumbufu. Wewe unafikiri kiasi gani kinatosha kuwahudumia watoto?
Umeanza kujielewa kiasi ila nina mambo yananisumbua:-siwezi mchukulia mwanaume kama Mungu na huku nmeomba jinsi ya kufanya asa kejeli matusi ya nini?? nikaomba basi na ajira mnisaidie nilee hawa watoto ni sabbau hujui behind ya haya mambo....kamwe siwez mfananaisha Mungu wangu na kitu chochote afu sahivi ndoa sio priority yangu kaka so usinikejeli kwa kuona nataka mume sijui kulalamika hapana
haya kaka nisaidie kibarua niweze lea watoto niachane na uyo mwambaUmeanza kujielewa kiasi ila nina mambo yananisumbua:-
-uandikapo "asa" au "siwez" au "sahiv" unamaanisha nini?Huoni ni utoto huo kuandika kama unabania wino?
-usitangulize neno kukejeliwa.Hapo ni kumchagulia mtu akupe jibu ulitakalo au ambalo ulikuwa nalo.Haileti maana.Jifunze kupokea yote kwa yote kutoka kwa yeyote.Uchaguzi na uchambuzi unabaki kwako.Utazoea tu mijadala.Umeonesha kichwa chepesi kukabili mijadala.
hahahaha niliolewa uzinzi upo unaouongeleaUZINZI ndo chanzo cha yote haya
Mkiambiwa msizini mnaendekeza matamanio yenu
Hii ndo adhabu yenu nyie wazinzi
Bado unanipa changamoto.Usimtaje member humu kama baba,kaka,mama,mjomba,dada nk.Ids nyingi zinaweza kukuchanganya na kumpa jinsi isiyo yake.Unapaswa kumuita member kwa kutumia neno "mkuu"!Kuhusu kazi nitakudanganya.Kwa sasa sina fursa hiyo.Tuombe kheri wakuu wenye nazo wajitolee.haya kaka nisaidie kibarua niweze lea watoto niachane na uyo mwamba
Kma uliolewa sawahahahaha niliolewa uzinzi upo unaouongelea
Ila watu mmevurugwa asee😆😆😆Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Unamchukulia poa mzee wako kisa eti laana za limwanamke acha hizo, anayeweza kumlaani ni aliyemzaa tu!Kama ni kweli ulichoandika basi huyu mwanaume atakuja kupata shida sana huko mbele ya maisha yake.. wanaume wengi tunaishi na laana za wanawake tuliowazalisha na kuwatelekeza.. nimejifunza sana kwa mshua wangu anaishi maisha ya kujuta na kulalamika kila siku..
Ndoto za abunuwasikati ya 2.8 mil upewe 50k una akili kweli kama unaenda kudai pesa hyo bora uache tu..
Pia angalai na uwiano wa watoto wengine kama ni mmoja tu anaye basi angalau upate 250k kwenda mbele.