Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma

Laana ya kutelekeza mtoto.
Hivi mnalichukulia neno laana kiurahisi kama kuchambua mchele?Huwa hampendi kukubali changamoto zenu na kutaka kubadilika.Hata muwe na makosa mnataka muonekane safi na muonewe huruma.Hiyo dunia ya kuonewa huruma na kujiliza tu bila ku-take responsibilities aliondoka nayo Yesu!Badilikeni.
NB:Sheria za kijinga na huruma ya kipumbavu kutoka kwa jamii bogus inawapumbaza.Fumbueni macho.Msijilaze kama mpo picnic!Jifunzeni kukabili changamoto kwa njia chanya na endelevu.Siyo kushikashika tama na kujishangaza kama unaangalia nyumba inaungua.
 
mnanikejeli sana mimi kuomba msaada basi naombeni mnisamehe nina roho ndogo sana naumia kwa kunidhihaki nisameheni pengine sikupaswa kuomba ushauri samahanini ilanjueni sijazaa bila ndoa nmezaa kwa ndoa kabisa
Hakuna anaekukejeli unaambiwa ukwel hata ukiolewa tena usitoe mapembe juuu na kutomsikiliza mme wako hadi ndoa inakufa..

Ukipata mume tena ukae Kwa kutulia acha mapepe ,msikilize mmeo na sio kusikiliza mashangazi na wanaharakat wa haki sawa watakuponza tena..mtii mume wako mtarajiwa mchukulie kama Mungu wako ha ha haa..😂😂😂
 
siwezi mchukulia mwanaume kama Mungu na huku nmeomba jinsi ya kufanya asa kejeli matusi ya nini?? nikaomba basi na ajira mnisaidie nilee hawa watoto ni sabbau hujui behind ya haya mambo....kamwe siwez mfananaisha Mungu wangu na kitu chochote afu sahivi ndoa sio priority yangu kaka so usinikejeli kwa kuona nataka mume sijui kulalamika hapana
 
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Atavoambiwa awe anakupa ten Kwa mwezi ndo hautaamini
 
siwezi mchukulia mwanaume kaka Mungu na huku nmeomba jinsi ya kufanya asa kejeli matusi ya nini?? nikaomba basi na ajira mnisaidie nilee hawa watoto ni sabbau hujui behind ya haya mambo....kamwe siwez mfananaisha Mungu wangu na kitu chochote afu sahivi ndoa sio priority yangu kaka so usinikejeli kwa kuona nataka mume sijui kulalamika hapana
Una comment nzuri dada ubarikiwe jomoni ☺️☺️☺️🙂🙂
 
kati ya 2.8 mil upewe 50k una akili kweli kama unaenda kudai pesa hyo bora uache tu..

Pia angalai na uwiano wa watoto wengine kama ni mmoja tu anaye basi angalau upate 250k kwenda mbele.
Ni mumewe au kazaa nae tu. Kwaio kila mdada ajilengeshe kwa mume wa mtu apate mtoto ili alipwe 250k?
 
mnanikejeli sana mimi kuomba msaada basi naombeni mnisamehe nina roho ndogo sana naumia kwa kunidhihaki nisameheni pengine sikupaswa kuomba ushauri samahanini ilanjueni sijazaa bila ndoa nmezaa kwa ndoa kabisa
Masikini umeandika kwa huruma hadi nimejisikia vibaya. Pole sana kama una roho ndogo Jf sio sehemu ya kuomba ushauri mpenzi.
Siku hizi JF imekuwa ya ovyo sio sehemu serious kabisa. Wanaume wa Jamii forum 90% ni wa ovyo wana roho mbaya na chuki kwa kila mwanamke. Wanapenda kuwatukana na kujudge wanawake bila hata kujua uhalisia.
Wanaume wa JF wao ishu za ndoa na watoto wanaona wanawake ndio wakosaji kiasi cha kuwatukana ni malaya na wafwata mali/hela kwa wanaume au umejibebesha mimba.

mama cutest nilichotaka kukwambia ni usiumie na comment za wapumbavu hawa na wala zisikupe shida na usijibizane nao wengi wana stress za maisha na tatizo la afya ya akili. Watatukana ila ndio ukweli huo.

Wewe kama ni mke wa ndoa na una cheti swala lako kaanzie bakwata huko utapata msaada na mwisho ugua pole ukishapona jishighulishe ulee wanao kwamwe usikubali kuambiwa uache kazi eti kaa nyumbani unaona madhara yake ndio hayo.
 
Weee mim nnae hapa muda wote mdomo unatafuna unataka kula
Yaan huwa na kaz ya kujipilikisha maandaz au kalimati tofauti na msosi ili apate na vya kula kula wakija wengine hataree
Halaf unapangiwa vya kupika na aina ya juice unapangiwa na kukosolewa juu
Akiii inabidi ukiwa na hamu na juice fulan utengeneze yako na yake utengeneze anavyopenda huwa nachoka mie
Umedekeza sana huyo toto tundu😂 mfunze kula kilichopo hata kama una uwezo wa kumpa anachotaka
 
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Pole sana kwa usumbufu. Wewe unafikiri kiasi gani kinatosha kuwahudumia watoto?
 
Pole sana kwa usumbufu. Wewe unafikiri kiasi gani kinatosha kuwahudumia watoto?
mi sihitaji pesa yake naomba alete mahitaji ya watoto kila mwezi tu maan kuhusu pesa naonekana huku sijui nataka pesa no nataka mahitahi niweze msaidia mama majukumu apa maaan nimeletea familia na mamaangu hajaajiriwa anabangaiza tu
 
siwezi mchukulia mwanaume kama Mungu na huku nmeomba jinsi ya kufanya asa kejeli matusi ya nini?? nikaomba basi na ajira mnisaidie nilee hawa watoto ni sabbau hujui behind ya haya mambo....kamwe siwez mfananaisha Mungu wangu na kitu chochote afu sahivi ndoa sio priority yangu kaka so usinikejeli kwa kuona nataka mume sijui kulalamika hapana
Umeanza kujielewa kiasi ila nina mambo yananisumbua:-
-uandikapo "asa" au "siwez" au "sahiv" unamaanisha nini?Huoni ni utoto huo kuandika kama unabania wino?
-usitangulize neno kukejeliwa.Hapo ni kumchagulia mtu akupe jibu ulitakalo au ambalo ulikuwa nalo.Haileti maana.Jifunze kupokea yote kwa yote kutoka kwa yeyote.Uchaguzi na uchambuzi unabaki kwako.Utazoea tu mijadala.Umeonesha kichwa chepesi kukabili mijadala.
 
haya kaka nisaidie kibarua niweze lea watoto niachane na uyo mwamba
 
haya kaka nisaidie kibarua niweze lea watoto niachane na uyo mwamba
Bado unanipa changamoto.Usimtaje member humu kama baba,kaka,mama,mjomba,dada nk.Ids nyingi zinaweza kukuchanganya na kumpa jinsi isiyo yake.Unapaswa kumuita member kwa kutumia neno "mkuu"!Kuhusu kazi nitakudanganya.Kwa sasa sina fursa hiyo.Tuombe kheri wakuu wenye nazo wajitolee.
 
Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Sasa naombeni msaada - Je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
Ila watu mmevurugwa asee😆😆😆
 
Kama ni kweli ulichoandika basi huyu mwanaume atakuja kupata shida sana huko mbele ya maisha yake.. wanaume wengi tunaishi na laana za wanawake tuliowazalisha na kuwatelekeza.. nimejifunza sana kwa mshua wangu anaishi maisha ya kujuta na kulalamika kila siku..
Unamchukulia poa mzee wako kisa eti laana za limwanamke acha hizo, anayeweza kumlaani ni aliyemzaa tu!

Zalisha pita kushoto na usiwahi kukumbuka hivi ndivyo real mens hufanya
 
Back
Top Bottom