Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hivi mnalichukulia neno laana kiurahisi kama kuchambua mchele?Huwa hampendi kukubali changamoto zenu na kutaka kubadilika.Hata muwe na makosa mnataka muonekane safi na muonewe huruma.Hiyo dunia ya kuonewa huruma na kujiliza tu bila ku-take responsibilities aliondoka nayo Yesu!Badilikeni.Laana ya kutelekeza mtoto.
NB:Sheria za kijinga na huruma ya kipumbavu kutoka kwa jamii bogus inawapumbaza.Fumbueni macho.Msijilaze kama mpo picnic!Jifunzeni kukabili changamoto kwa njia chanya na endelevu.Siyo kushikashika tama na kujishangaza kama unaangalia nyumba inaungua.