Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
Kama hawezi kuwalea kwanini alazimishe kubaki nao?Ni kweli Mkuu, lakini kama Mwanamke ameamua kulazimisha kubaki na Mtoto/Watoto basi huna budi Mwanaume kutenga fedha kwaajili ya kumhudumia damu yako ili mtoto asipate tabu.
Sio vizuri Watoto wapate shida na Wazazi mpo hai, ukiona hutaki kuongea na mtalaka wako fungua Akaunti uwe unatumbukiza hela ya matumizi pamoja labda na ada kila mwisho wa mwezi kwaajili ya Mtoto wako.
Kama nitahitaji wanangu alafu ukawazuia bila sababu ya msingi, hakika utalea mwenyewe.
Siyo kutuletea "vitisho ooh fainali uzeeni" kama vile nyie ndiyo Mungu
Tunasubiri tu hiyo fainali uzeeni ije vyovyote🤣