Msaada: Nataka kwenda Ustawi wa Jamii, baba wa watoto ananisumbua huduma



Halafu hawajui tu lakini ukweli ni kwamba kuna muda Mtoto ataanza kutaka kumuona bana yake mzazi na kumjua .

Tena wengine hata mama yake alimwambia baba yako alikufa , anamwambia nielekeze alikozikwa nikaone kaburi lake ,

Na anamwambia nielekeze nikawaone ndugu zake .

Mama akigoma Mtoto anaendelea kumshinikiza jambo hilo hilo hadi kieleweke [emoji108]

La sivyo Mtoto mwingine akikataliwa hi Ali mnyonge asie na raha na kuwa na msingo wa mawazo kwamba mama yake alimzaa Na kaka yake ? (Mjomba wa mtoto) au Kwanini anakataaa nisimjue baba yangu?
 
Be blessed
 
Kipofu unamuelekeza kipofu mwenzako
Dada unakuwaga na makasiriko na mimi kama tunajuana vile hahaa...halafu nahisi wewe ni mke mwenzangu tunashea delibolo ni vile tuu nilichelewa kukujua wewe wanijua. Relax dada lets share in peace hakuna haja ya kunichukia public hivi mume wetu anatutosheleza wote.
 
kakuta kazini nilikuwa nafanya tigopesa enzi izo kariakoo akanipenda akanitongoza akanioa nadhani nmejibu ipasavyo na watoto wamezaliwa ndan ya ndoa
Sawa. Mlipokuwa pamoja ni jambo gani ambalo unahisi likikuwa chanzo cha yeye kukengeuka na kuanza kuharibu Ndoa. Nini kilitokea?
 
Talaka sio kitu, pigilia pamba shepu ionekane, akikuona apate kigugumizi, mambo yataenda sawa; sasa ukiwa unavaa kama mpika supu wa mnadani, ni nani atakuwa na hamu na wewe, lazima maisha uyaone magumu tu.



Mwingine akishakutoa moyoni baaasiii hata umwendee uchi ameshakukinahi na kukukifu [emoji108]

Kuna wanaume wagumu usipime!

Once akosema is over hageuki nyuma.

Ndiyo misimamo yao.
 
Nilikuwa namaanisha, kama gharama ni 100,000/= basi mwanaume atachangia Nusu na Mwanamke Nusu. Full stop,
Mtoto ni wawote
Safi sana mkuu, hiyo nusu ndo nilikuwa sijakupata, iko hivyo maana hata kwangu ilitokea ni 50,000 nikakata Bima na kutoa Tsh 20,000 kesi ikaisha na akaishia kujutia uamuzi wake na kiburi chake.
 
Bado mkuu haikupi haki ya kumwita mtu malaya wakati humjui. Mimi nimeongele jinsi wanavyomtukana na sio kumshauri hata kana ushauri utakuwa negative mshauri kwa stara sio kumwita mtu malaya mara kapanua so so....ni kweli wanaume wa JF wana shida ya akili ndio maana matusi yamewajaa mbele ukitaka kuhakikisha hilo angalia nyuzi zao wanazoanzisha na coment zao kwenye nyuzi za watu
 
red flag kama zipi na nmeelza history kwa ufupi ila nyue ndo mmekazana nimempanulia mara nimezaa na mume wa mtu
Hayo mengine umeshayajibu nikakuelewa maana nilikuwa sijasoma. Red flag naongelea mimi ni kama ile ya wewe kuongelea financial state ya mwanaume na kusema huna haja ya Ndoa wakati hiki unachotaka ni sehemu ya benefits za ndoa.
 
Sawa. Mlipokuwa pamoja ni jambo gani ambalo unahisi likikuwa chanzo cha yeye kukengeuka na kuanza kuharibu Ndoa. Nini kilitokea?
chanzo uhuni alikuwa muhuni sana ila mimi nilikosea kununa kumfwatilia kuhusu simu naongea ukwel kabisa sijui utoto ujinga au nilipenda sana

nmekuj shtuka kushakucha kumchunguza mwanaume japo na yeye alikosea kwa upande wake hakuwahi niheshimu
 
Ndo ulete takwimu na sio bla bla
Hahaha.......vipi Kiongozi nawe una watoto umewatelekeza?

Haujachelewa, bado una nafasi ya kubadirika. Anza kupeleka huduma muhimu ikiwemo kuwalipia Ada na malazi na Chakula.
 
mim sina kazi mkuu kumbuka nmezaa mtoto njiti najiuguza na alinioa alisema hatak mwanamke afanye kaz asa nimeachwa sina pa kuanza nifanyaje?
Mwambie akufungulie biashara karibu na nyumbani ili uweze kujisapoti kwenye mambo madogo madogo.
 
Hao ni Pipa na mfuniko, ye naye kazalishwa tu yupo yupo
Punguza makasiriko dada mweeh. Shukuru Mungu suruali zinakusitiri na jf upo behind keyboard lasivyo sijui aosee
 
Mwambie akufungulie biashara karibu na nyumbani ili uweze kujisapoti kwenye mambo madogo madogo.
yaan tushakuwa chui na panya sujui nifanyaj maan hazungumzi na mimi kbs anapitia kwa dada yangu ila sio mm
 
chanzo uhuni alikuwa muhuni sana ila mimi nilikosea kununa kumfwatilia kuhusu simu naongea ukwel kabisa sijui utoto ujinga au nilipenda sana

nmekuj shtuka kushakucha kumchunguza mwanaume japo na yeye alikosea kwa upande wake hakuwahi niheshimu
Okay
Ila mi sikushauri uache ndoa yako kirahisi hivyo kisa mchepuko huo...
Huyo kashikwa ndo maana hakunbuki hata mtt, ingekuwa Yuko sawa asingesahau mtt!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…