Until_The_End
JF-Expert Member
- Nov 21, 2020
- 1,456
- 2,202
Ujinga huu hapa:⬇️⬇️Ujinga upi nimemjaza we kuku.
Tatizo lenu mnapenda sana mwanamke akiteseka. Apambane mwenyewe anaweza. No more kulialia maana haisaidii.
Baadae watoto wakipata mafanikio utamuona huyo anajileta kama baba Mondi. Na hiyo ndo Itakuwa adhabu yake.
Wanawake ni viumbe wachekeshaji sana.Hata umlee vipi yeye na mtoto hakawii kumjaza negativities mtoto hadi baba uonekane nyang'au.They're capable and have the highest techniques to corrupt the kids!Ndiyo yaleyale maneno yaliyoandikwa kwenye guta.Ujinga huu hapa:⬇️⬇️
Ukiwa binadamu akili yako inafikria vizuri kabisa, huwezi kuwaza kuwa mafanikio niya watoto tu... Et adhabu yake; Who are you?
Vipi kama yeye na mwanaye wasipopata mafanikio.
Jambo la kufanikiwa au kutokufanikiwa siyo jambo la kumtisha mtu.
Think Big
Uliona wapi mwanamke akamsakizia mwanaume majukumu yote.Hakuna sehemu umeomboleza upewe msaada.Unachopaswa kukielewa ni kwamba,mbebe majukumu.Wewe siyo gudulia la kubeba tu mtoto tumboni halafu kwenye kulea umsakizie mwanaume achukue majukumu yote.Siyo kwa dunia hii.Badilikeni na siyo kubwekabweka kwa umma looking for sympathy.Mtoto atunzwe na wote.Ukilikoroga kwa mzazi mwenzio kabiliana na changamoto zako.
NB:Siyo kila unayebadilishana miandiko JF ukamkadiria umri utakavyo.Hata kuuza mawese karibu nastaafu.
Mimi nahudumia wanaonihusu.Ukisema tusichukulie poa wanawake kubeba watoto tumboni unakwama.Huko ni kutishana kwa haki na majukumu yenu.Uliona wapi mwanamke akamsakizia mwanaume majukumu yote.
Hivi hua mnaongea tu kubeba mtoto tumboni hivo tu ni swala la kutoa heshima kubwa.
Usichukulie mambo poa.
"Uwe na umri mkubwa uwe nao wa kati au wa chini jitahidi kuwatunza na kuwahudumia watoto wenu"
Fair!Labda anawatoto wengine sehemu zingine.
Hoja hapo yaangaliwe mahitaji ya mtoto ya lazima, kisha gharama alafu yagawanywe Kwa Mbili yaani Baba na Mama. Full stop.
Sawa kama nakwama.Mimi nahudumia wanaonihusu.Ukisema tusichukulie poa wanawake kubeba watoto tumboni unakwama.Huko ni kutishana kwa haki na majukumu yenu.
NB:Isiandikwe kwenye "hansadi"!Na sisi tukisema tunabeba watoto kwa miaka yote kwenye korodani na hatuliilii mtatuelewa?😂😂😂😂😂
Kwahiyo wewe unataka afanyeje? Mshauri wewe mwenye akili. Mimi ushauri wangu ndo huo akitaka afate asipotaka asifate. Neno langu si sheria.Ujinga huu hapa:⬇️⬇️
Ukiwa binadamu akili yako inafikria vizuri kabisa, huwezi kuwaza kuwa mafanikio niya watoto tu... Et adhabu yake; Who are you?
Vipi kama yeye na mwanaye wasipopata mafanikio.
Jambo la kufanikiwa au kutokufanikiwa siyo jambo la kumtisha mtu.
Think Big
Itoshe kusema hayo ni malezi mabaya. Hao ndio watoto hukua wakijua maisha ni kupata unachokitaka kila muda, siku akikutana na shida anaenda kujidhuru. Anyways leo mwanao mumyWeee mim nnae hapa muda wote mdomo unatafuna unataka kula
Yaan huwa na kaz ya kujipilikisha maandaz au kalimati tofauti na msosi ili apate na vya kula kula wakija wengine hataree
Halaf unapangiwa vya kupika na aina ya juice unapangiwa na kukosolewa juu
Akiii inabidi ukiwa na hamu na juice fulan utengeneze yako na yake utengeneze anavyopenda huwa nachoka mie
Lea wanao dada...chukulia km amekufaaa bhanaNaombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?
naenda kwa mwajiriLea wanao dada...chukulia km amekufaaa bhana
Tatizo mnaenda kupewa mimba nawaume zawatu
Eee nenda.....mmezidi kuzaa na Wayne za watu,umegeizwa incubator dada!!!!naenda kwa mwajiri
hahhaahha we dada nina ndoa jamani ndo maan najiamini sidhani ningezaa na mumewamtu nungekuja huku aseee hata uo ujasiri ningekosaEee nenda.....mmezidi kuzaa na Wayne za watu,umegeizwa incubator dada!!!!
aendelee tu si alishaamua. Lakini kwa kawaida huwa baba anapigwa tukio hapa hapa duniani kabla hata kufika huko kwa The Biggest of the biggests!Vipi mtoto akiwa na maisha ya hovyo na baba yake akapata watoto sehemu nyingine akalea vizuri wakawa na mafanikio wakamsaidia. Hapo itakuwaje kwenye hii story yako?! [emoji23][emoji23][emoji23]
250k kwa mtoto mmoja,je watoto wangekua 10?kati ya 2.8 mil upewe 50k una akili kweli kama unaenda kudai pesa hyo bora uache tu..
Pia angalia na uwiano wa watoto wengine kama ni mmoja tu anaye basi angalau upate 250k kwenda mbele.
Uwiano wa watoto kwanza wapo wangapi kama ni mmoja sawa 250k ni nzuri ila kama ni wengi hata hyo 50k ni kubwa.250k kwa mtoto mmoja,je watoto wangekua 10?
Vipi wale watoto ambao baba zao wanapokea 120k kwa mwezi,wanawahudumiaje watoto?
Wanaume tuwe makini tu,unayezaa nae,muoe húyohuyo,ukizaa kila mtoto na mama yake,gharama ya utunzaji ni kubwa sana.Uwiano wa watoto kwanza wapo wangapi kama ni mmoja sawa 250k ni nzuri ila kama ni wengi hata hyo 50k ni kubwa.
Nahisi huyu ni kimada na jamaa ana familia yake😅😅ngoja apambane kwanza.Wanaume tuwe makini tu,unayezaa nae,muoe húyohuyo,ukizaa kila mtoto na mama yake,gharama ya utunzaji ni kubwa sana.
Ilikuwaje ukampanulia mwanaume wa Tanesco?Naombeni msaada nataka kwenda ustawi, baba wa watoto huduma ananisumbua maana ni mfanyakazi TANESCO Engineer Grade 1 anapokea 2.8. Sasa naombeni msaada - je, kwa mshahara huo naweza pata elfu 50 ustawi au wanadanganya?