Msaada: Nawezaje kuacha tabia ya kuongea peke yangu?

Yaani wewe upo kama mimi na kwangu mimi taaluma yangu ni sheria so kila nikiwa peke yangu ikitokea issue yoyote iwe nimesoma au kusikia sehemu naanza kuongea kwa kujenga hoja za pande zote mbili!
 
Lipa madeni yako!
 
Wewe ni genius
 
Kujitenga haimanishi kuwa unaongea pekee yako. Ni matatizo uliyonayo
Ungesikiliza kipindi cha jana saa 3 RFA walikuwa wanazungumzia hiki kitu.
Haimanishi ukiwa una hela basi hautaongea peke yako.
Money is not everything
Sijawahi kubeti kabisa mkuu ..
 
Nashangaa watu wameleta utani na hakuna seriousness katika hili. Mimi mwenyewe naongea peke yangu hasa ni kwa kuwa nakosa watu sahihi wa kuongea mada zangu. Unakuta sebuleni wako wanatazama mkurugenzi kaagiza vyoo vifungwe mimi naona ni habari za kipuuzi nazama chumbani kutazama Taliban wamefanyaje. Alafu sasa unakuta nasema mwenyewe "hawa Taliban si ndio juzi hapa walikuwa wanashangaa gym na babywalkers za umeme, sasa wamewezaje kuendesha helicopter si wataanguka hawa?"

alafu nafikiria then najijibu "itakuwa wameteka marubani wa jeshi la serikali iliyopita au jeshini kulikuwa na mamluki wa Taliban". Simply ni kwamba nikikaa na watu tunaelewana siongei mwenyewe
 
Inategemea unaongea nini?ila unaweza kuacha taratibu kama unataka kuacha
 
Shukrani sana mkuu ..
 
Yaani wewe upo kama mimi na kwangu mimi taaluma yangu ni sheria so kila nikiwa peke yangu ikitokea issue yoyote iwe nimesoma au kusikia sehemu naanza kuongea kwa kujenga hoja za pande zote mbili!
Nashukuru kuona tupo wengi, mwanzoni niliona kama tatizo ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…