Msaada: Nawezaje kufungua akaunti ya UTT?

Kuwa na mabwana wengi... Utapata tu UTI . Maana wewe umeamua uwe na akaunti kabisa ya UTI unaona ukiumwa ukipona hutosheki.
 
Hapana mil 2 ni kianzio kukiza mtaji ni kuanzia 5k na kuendelea unakuwa unaendelea kuweka wakati wowote.
 
Hapana mil 2 ni kianzio kukiza mtaji ni kuanzia 5k na kuendelea unakuwa unaendelea kuweka wakati wowote.
Okay Asante kwa ufafanuzi, Naskia lile gawio linaloingia kwenye account ni kwa siku za kazi tuu yan ( Monday to Friday) so kwa public holyday vp? Mfano J3 ni Eid, Means kuanzia leo Jumamosi mpaka Jumatatu, hela ya mtu ita stuck, then Jumanne ndo ile percent itaendelea kuongezeka?
 
Siamini sana kwenye capital, naamini zaidi kwenye mbinu,maarifa, taarifa na juhudi binafsi,afu ndo unafata
Ipo clear haihitaji mbinu yoyote
Mutual fund bongo zipo 2 ambazo ni UTT na FAIDA FUND.
Ambazo wanatoa interest of return (RIR) ya 10 - 15%
Kuna ujanja gani zaidi ya wa "The high the capital the high the return""

#YNWA
 
Uko sahihi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…