BEZO
JF-Expert Member
- Jul 15, 2023
- 1,770
- 4,449
Ile siyo biashara mkuu,inaitwa investment. Kama vip kaweke tu bank..halafu uone kama kuna ongezeko lolote baada ya mwakaduh! yaani uweke 10m ndio upate laki kwa mwezi!! mbona wanatuminya sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile siyo biashara mkuu,inaitwa investment. Kama vip kaweke tu bank..halafu uone kama kuna ongezeko lolote baada ya mwakaduh! yaani uweke 10m ndio upate laki kwa mwezi!! mbona wanatuminya sasa
Wakuu nimejaribu kuangalia kwenye website yao sioni hata sehemu ya kulog in.
UPDATES : Friday 31st
Leo nimeenda ofice za UTT hapa mwanza.
Kwa maelekezo mdau alinielekeza zipo JB BELMONT HOTEL (Shukran we jamaa)
Ok nimefika hapo jengo la NSSF MWANZA,Au ilipo Main office ya CRDB maana ni mlango wa pili tu.
So ni floow ya kwanza kwene jengo la NSSF floor ya kwanza.
Labda ukajenge nyumba kwa kutumia hyo mil 2,halafu upangishe kwa laki moja kwa mwezi uone kama inawezekana.duh! yaani uweke 10m ndio upate laki kwa mwezi!! mbona wanatuminya sasa
😂😂😂😂😂 acha utani uncleukiwa na million mbili mfuko gani mzuri wakuwepa pesa japo nipate 100k kwa mwezi?
Nmemuambia akajenge nyumba kwa kutumia hyo mil 2 halafu apangishe kwa laki moja kila mwezi.😂😂😂😂😂 acha utani uncle
jamani sii nimeuliza tuu japo nipate kujua sio nakuwa na mawazo yangu😂😂😂😂😂 acha utani uncle
sijaelewa...unajua mie nilikuwa bwege mtozeni darasani. ongea lugha ya darasa la saba nitakuelewaLabda ukajenge nyumba kwa kutumia hyo mil 2,halafu upangishe kwa laki moja kwa mwezi uone kama inawezekana.
Okay boss, na upande wa ongezeko la fedha ile 1% ni kila siku au siku za kazi tuu?Haina
#YNWA
Siku za kazi tuOkay boss, na upande wa ongezeko la fedha ile 1% ni kila siku au siku za kazi tuu?
Duh sio mchezo ,means kuanzia leo Jumamosi,Jumapili na Jumatatu ya Eid ,hela zina stuck kwanza mpaka j4, hii haijakaa sawaSiku za kazi tu
Ila ni 10% kwa mwaka sio kwa siku
Kwa siku huongezeka senti kadhaa unakuta Shilingi 0.0678...!!!
#YNWA
Hapana mil 2 ni kianzio kukiza mtaji ni kuanzia 5k na kuendelea unakuwa unaendelea kuweka wakati wowote.Naomba ufafanuzi zaidi hapo kwenye mfuko wa kujikimu, kwa mfano nikijiunga kwa kianzio cha 2m, means ntapata gawio kila baada ya miezi mitatu, sasa nataka kuja ili niendelee kupata hili gawio ,wakati nataka kukuza mfuko itanibidi niweke tena 2m, au hata kiwango kidogo? ,km hapo naona wamesema kiwango cha chini cha kukuza mtaji ni 5k
Okay Asante kwa ufafanuzi, Naskia lile gawio linaloingia kwenye account ni kwa siku za kazi tuu yan ( Monday to Friday) so kwa public holyday vp? Mfano J3 ni Eid, Means kuanzia leo Jumamosi mpaka Jumatatu, hela ya mtu ita stuck, then Jumanne ndo ile percent itaendelea kuongezeka?Hapana mil 2 ni kianzio kukiza mtaji ni kuanzia 5k na kuendelea unakuwa unaendelea kuweka wakati wowote.
😀😀😀😀😀 sure mkuu km anaona ni rahisi ajenge nyumba kwa 200kNmemuambia akajenge nyumba kwa kutumia hyo mil 2 halafu apangishe kwa laki moja kila mwezi.
We c unaendesha bodaboda, ilishawahi kukuingizia 200k kwa week?jamani sii nimeuliza tuu japo nipate kujua sio nakuwa na mawazo yangu
Make your decision WISELY.Duh sio mchezo ,means kuanzia leo Jumamosi,Jumapili na Jumatatu ya Eid ,hela zina stuck kwanza mpaka j4, hii haijakaa sawa
Huyo anayeingiza 200k kwa wiki UNAUJUA MTAJI (CAPITAL INVESTMENT) YAKE?We c unaendesha bodaboda, ilishawahi kukuingizia 200k kwa week?
Siamini sana kwenye capital, naamini zaidi kwenye mbinu,maarifa, taarifa na juhudi binafsi,afu ndo unafataHuyo anayeingiza 200k kwa wiki UNAUJUA MTAJI (CAPITAL INVESTMENT) YAKE?
#YNWA
Ipo clear haihitaji mbinu yoyoteSiamini sana kwenye capital, naamini zaidi kwenye mbinu,maarifa, taarifa na juhudi binafsi,afu ndo unafata
Uko sahihi mkuuIpo clear haihitaji mbinu yoyote
Mutual fund bongo zipo 2 ambazo ni UTT na FAIDA FUND.
Ambazo wanatoa interest of return (RIR) ya 10 - 15%
Kuna ujanja gani zaidi ya wa "The high the capital the high the return""
#YNWA