Msaada: Nawezaje kufungua akaunti ya UTT?

Msaada: Nawezaje kufungua akaunti ya UTT?

Wakuu nimejaribu kuangalia kwenye website yao sioni hata sehemu ya kulog in.

UPDATES : Friday 31st

Leo nimeenda ofice za UTT hapa mwanza.

Kwa maelekezo mdau alinielekeza zipo JB BELMONT HOTEL (Shukran we jamaa)

Ok nimefika hapo jengo la NSSF MWANZA,Au ilipo Main office ya CRDB maana ni mlango wa pili tu.
So ni floow ya kwanza kwene jengo la NSSF floor ya kwanza.

Kuwa na mabwana wengi... Utapata tu UTI . Maana wewe umeamua uwe na akaunti kabisa ya UTI unaona ukiumwa ukipona hutosheki.
 
Naomba ufafanuzi zaidi hapo kwenye mfuko wa kujikimu, kwa mfano nikijiunga kwa kianzio cha 2m, means ntapata gawio kila baada ya miezi mitatu, sasa nataka kuja ili niendelee kupata hili gawio ,wakati nataka kukuza mfuko itanibidi niweke tena 2m, au hata kiwango kidogo? ,km hapo naona wamesema kiwango cha chini cha kukuza mtaji ni 5k
Hapana mil 2 ni kianzio kukiza mtaji ni kuanzia 5k na kuendelea unakuwa unaendelea kuweka wakati wowote.
 
Hapana mil 2 ni kianzio kukiza mtaji ni kuanzia 5k na kuendelea unakuwa unaendelea kuweka wakati wowote.
Okay Asante kwa ufafanuzi, Naskia lile gawio linaloingia kwenye account ni kwa siku za kazi tuu yan ( Monday to Friday) so kwa public holyday vp? Mfano J3 ni Eid, Means kuanzia leo Jumamosi mpaka Jumatatu, hela ya mtu ita stuck, then Jumanne ndo ile percent itaendelea kuongezeka?
 
Siamini sana kwenye capital, naamini zaidi kwenye mbinu,maarifa, taarifa na juhudi binafsi,afu ndo unafata
Ipo clear haihitaji mbinu yoyote
Mutual fund bongo zipo 2 ambazo ni UTT na FAIDA FUND.
Ambazo wanatoa interest of return (RIR) ya 10 - 15%
Kuna ujanja gani zaidi ya wa "The high the capital the high the return""

#YNWA
 
Uko sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom