macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ni suicidal. Utajiuna kama nyani ndani ya watu.Yaani umekata tamaa ya maisha uende beach ukute watu wameshika viuno vya watoto wabichi😃😃😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni suicidal. Utajiuna kama nyani ndani ya watu.Yaani umekata tamaa ya maisha uende beach ukute watu wameshika viuno vya watoto wabichi😃😃😃
You are too soft my friend, hilo la kukufanya utake kujitoa roho!?,mtu anafiwa wazazi na ndugu zake wote akiwa mdogo anabaki yeye na anateswa na wanaomtunza na bado anapambana, wewe unataka kujitoa roho Kwa hizi sababu za kitoto??., Hii Dunia ni ya kupambana sio lelemama.After simu yako kuna simu iliingia imenivuruga
Imagen mtu anatumia madhaifu yako ili anufaike mimi huwa sina roho mbaya watu wananitumia kwafaida zao mwisho wasiku mimi nabaki pale pale wanapenda kuona nikiwa palepale ili wakiwa na shida niwasaidie chap lakini ishu inapikuja kuwa ya kwangu hawaipi kipaumbele kama mimi navyo wapa wao kipaumbele na kujituma ili wafurahi nimetumia nguvu nyingi sana kumuaminisha kuwa naweza kufanya makubwa mwisho wa siku ananiamin then ananiachia kazi naifanya kwa ufasihi bila tamaa mwisho mtu wake wakaribu anakuja kukutupia matusi na kauli za kejeri kana kwamba hakuna kitu ulichokifanya baada ya hapo akijua umeumia anakuja kujirudi uku akisingizia mtu mwingine ambaye haja sema hivyo ila niyeye mdio amesema ukiangalia ni mtu mzima uwezi mjibu wala kumtukana unamuacha kusema kesho atabadirika kesho anarudia tena zaid ya jana sasa nawaza ukimya wangu unampa jeuri ya yeye kuendelea kufanya anacho ifanyia
Watu tunawekeza iman kubwa kwa watu ili watu amini af mtu mmoja anakuja kuivunja iman iyo bila kuheshimu jaman hiyo ni sawa?
Nani kakudanganya...Kifo humuweka mtu huru
wacha kudeka maisha hayako ivyo mkuu we kitinda mimba sioAfter simu yako kuna simu iliingia imenivuruga
Imagen mtu anatumia madhaifu yako ili anufaike mimi huwa sina roho mbaya watu wananitumia kwafaida zao mwisho wasiku mimi nabaki pale pale wanapenda kuona nikiwa palepale ili wakiwa na shida niwasaidie chap lakini ishu inapikuja kuwa ya kwangu hawaipi kipaumbele kama mimi navyo wapa wao kipaumbele na kujituma ili wafurahi nimetumia nguvu nyingi sana kumuaminisha kuwa naweza kufanya makubwa mwisho wa siku ananiamin then ananiachia kazi naifanya kwa ufasihi bila tamaa mwisho mtu wake wakaribu anakuja kukutupia matusi na kauli za kejeri kana kwamba hakuna kitu ulichokifanya baada ya hapo akijua umeumia anakuja kujirudi uku akisingizia mtu mwingine ambaye haja sema hivyo ila niyeye mdio amesema ukiangalia ni mtu mzima uwezi mjibu wala kumtukana unamuacha kusema kesho atabadirika kesho anarudia tena zaid ya jana sasa nawaza ukimya wangu unampa jeuri ya yeye kuendelea kufanya anacho ifanyia
Watu tunawekeza iman kubwa kwa watu ili watu amini af mtu mmoja anakuja kuivunja iman iyo bila kuheshimu jaman hiyo ni sawa?
Kifo uwokovu..Nani kakudanganya...
Pia ujue kuwa uhuru wa kweli upo kaburini...!Nani kakudanganya...
ni mlevi kumbeUyu jamaa naona mshahara aloupokea bado unapumua, hata huu uzi kauandikia baa siyo siri ,ama kweli bia tamu...
Mwombe Yesu Kristo akusaidie hata kama humwamini au umefanya dhambi kubwa kiasi gani utaona matokeo.Hi,
Kiukweli nina mawazo sana, sana, leo nimenusurika kugongwa na gari mara mbili. Mara ya kwaza ilikuwa pale Mbuyuni, mara ya pili Morocco. Binafsi sioni humuhimu wa mimi kuishi, nawonea wivu wale waliotangulia mbele za haki, mapambano yamekuwa magumu sana, peke yangu siwezi kabisa.
Mara ya kwaza nilitaka kujirusha kwenye gorofa la NSSF Posta kuna mtu akaniona sikuweza, ila hali hii imekuwa ikijirudia sana, mawazo kwangu hayaishi. Kila siku mambo mapya, hakuna siku inayoisha vizuri kwangu.
Sioni walau wakunishika mkono, wala anaewaza kuwa fulani yupo wapi na anafanya nini.
Kuna muda sitamani kuwasiliana na mtu yoyote hasa ndugu zangu, naona kama wananichora.
Una elimu gan , jinsia?Hi,

Sijui unaimani Gani...Pia ujue kuwa uhuru wa kweli upo kaburini...!
Kilicho kufa hakifi tena.....Sijui unaimani Gani...
Ila kifo sio pumziko kwa Kila mtu, pumziko kwa waliosafi tu
Acha utani bhana[emoji4]Acha ujinga dogo [emoji2][emoji2]
Mkuu pole sana, mwaka 2013 mimi nilikuwa najiskia nitafute kamba nijinyonge na nilipitia hayo unayopitia, nilivuka kwa kumtafuta Mchungaji, akaniombea mara ya kwanza sikukaa sawa mara ya pili ndipo nikakaa sawa.Hi,
Kiukweli nina mawazo sana, sana, leo nimenusurika kugongwa na gari mara mbili. Mara ya kwaza ilikuwa pale Mbuyuni, mara ya pili Morocco. Binafsi sioni umuhimu wa mimi kuishi, nawonea wivu wale waliotangulia mbele za haki, mapambano yamekuwa magumu sana, peke yangu siwezi kabisa.
Mara ya kwaza nilitaka kujirusha kwenye gorofa la NSSF Posta kuna mtu akaniona sikuweza, ila hali hii imekuwa ikijirudia sana, mawazo kwangu hayaishi. Kila siku mambo mapya, hakuna siku inayoisha vizuri kwangu.
Sioni walau wa kunishika mkono, wala anaewaza kuwa fulani yupo wapi na anafanya nini.
Kuna muda sitamani kuwasiliana na mtu yoyote hasa ndugu zangu, naona kama wananichora.
Kimbilia kanisani kwa wachungaji wakakuombee haraka.umetupiwa jini akutoe rohoHi,