Msaada: Ni zaidi ya nusu mwaka sasa tunatafuta mtoto bila mafanikio, tatizo linaweza kuwa nini?

Jamaa yangu alikaa miaka 3 ndani ya Ndoa bila kupata mtoto,kwa kuwa alikuwa na pesa alizunguka Hospital nyingi ndani na nje ya Nchi,kuja kubumbuluka akaambiwa mkewe ana mzunguko mfupi(siku 14),hivyo akashauriwa Mkewe anapokuwa period,ndio amtombe hivyohivyo na damu zake,ile kujaribu tu mimba ikaingia!!leo wana watoto watatu
 
DR Mambo Jambo
 
Hongera Sana Baba wawili....
 
Kama mwanamke anaona hedhi yake vizuri na wewe unatoa mbegu zilizo timamu kabisa lazima mwanamke apate mimba.Hapo kuna changamoto kidogo tu ambayo hujaibaini.Endelea kupambana utapata mtoto kama utabahatisha tiba sahihi.Kama utaendelea kutofanikiwa usisite kunishirikisha pia.
 
Pamoja sana ndugu
 
Nendeni hospitali mkapatiwe matibabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…