Msaada: Ni zaidi ya nusu mwaka sasa tunatafuta mtoto bila mafanikio, tatizo linaweza kuwa nini?

Usikute hata huyo pia sio wako.
 
Kwahiyo umemuoa? au umemsababishia usingo Maza?
 
Ni ishu ya timing tu mkuu na pia ondoa hofu.

Mwaka jana nilikua nataka mtoto wa pili na girlfriend wangu, tukaanza kumsaka October, hadi november ni shoo shoo lakini wapi. Tukaja kupata December bahati mbaya ikatoka January mwaka huu, tukaanza kumtafta Februari tumekuja kumpata May.

Kipindi hicho chote mwanamke hadi alihamaki akaenda hadi kwa daktari na dokta akasema hana tatizo, mimi sikuenda kwa sababu kipindi hicho tayari nilikua na mimba 3 kwa wanawake wengine 3 tofauti.

So nashauri calm down, relax, fuata kalenda vizuri, abstain from sex wiki 1 kabla hajaingia kwenye kipindi cha kushika mimba, I mean ile siku anaanza P acha sex kama una michepuko nje, so zile siku za p zikiisha pia usifanye, subiri kuanzia siku ya 11 ama 12 ndio upige show ya kueleweka hadi siku ya 15. Hii ni kama mkeo ni over 30.

Hawa wa under 25 wanashika mimba kuanzia siku ya 8 hadi siku ya 17 kizazi kiko nje nje.
 
Muulize kama alishawahi kutumia njia za uzazi wa mpango zozote.
 
Hapo kwenye tasa sidhani kama ni sahihi anaweza kushindwa kushika mimba sababu ya changamoto zingine za hormones au mirija mngefika hospital kwa uchunguzi zaidi.
 
Yah, ninae
1. Una uhakika Ni wako?
2. Kwanini usingeendelea na uliye zaa naye?
3. Kwanini uoe mwanamke aliye over 35 ambao ndio umri wa juu recommended kwa mwanamke kupata mimba na kuzaa salama?
4. Huyo uliyemuacha sio ajabu kakuendea mahali. Wanaosemaga.

Tutaona...
 
Mchepuko huu sawa baba wawili
 
Kama hakufanya abortion ikamuachia kovu basi dawa zipo mitishamba mizizi ni miezi michache tu 1-4 ananasa mimba huo umri sio tatizo wasikutishe
 
Hizo tutaona ni possible mkuu
 
Thanks kwa ushauri mkuu. Nitaufanyia kazi
 
Ukitaka kujua Kama mwanamme uko fitty jaribu na house girl. Bao moja tu tena cha wizi wizi wife asije akawakuteni.
Mimba.
 
Mzeya nipe huyo mwanamke asiezaa ata ifaa mie vizuri kabisa....ni mwendo wa kugegedana na kula life bila stress za kulipa ada za shule
 

Pole sana, ila ukimshindwa tushirikishe, natafuta sana mwanamke tasa rejected kwenye ndoa, atanifaa sana, nitamtuza na tutaishi kwa furaha.
 
One shot or target one goal....talk about efficiency 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…